ORODHA YA WACHEZAJI WA YANGA AMBAO WAKO HATARINI KUIKOSA MAMELODI SUNDOWNS

MICHEZO Pacome, Aucho, Yao hatarini kuwakosa Masandawana "Natarajia kuwakosa baadhi ya wachezaji wangu nyota. Siwezi kuhatarisha afya za wachezaji ambao bado hawana utimamu wa kimwili. Lakini kuna uwezekano mkubwa wa…

Continue ReadingORODHA YA WACHEZAJI WA YANGA AMBAO WAKO HATARINI KUIKOSA MAMELODI SUNDOWNS

Polisi wa Argentina wanachunguza vitisho vya kifo vilivyotolewa kwa familia ya mshambuliaji Angel Di Maria nyumbani kwao Roasario.

Wafanyakazi kwenye nyumba ya staa huyo mshindi wa Kombe la Dunia na Argentina mwaka 2022, walisema walikutana na ujumbe uliokuwa na vitisho vya vifo kama ataendelea kucheza kwenye moja ya…

Continue ReadingPolisi wa Argentina wanachunguza vitisho vya kifo vilivyotolewa kwa familia ya mshambuliaji Angel Di Maria nyumbani kwao Roasario.