ARSENE WENGER AISHAURI LIVERPOOL
MICHEZO Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger amewaonya mabosi wa Liverpool kwamba wasimtumie Jurgen Klopp kama mshauri wa kupendekeza Kocha mpya atakayechukuwa mikoba yake baada ya yeye kuondoka mwisho…
MICHEZO Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger amewaonya mabosi wa Liverpool kwamba wasimtumie Jurgen Klopp kama mshauri wa kupendekeza Kocha mpya atakayechukuwa mikoba yake baada ya yeye kuondoka mwisho…
MICHEZO Rachael Kundananji ,Mchezaji mwenye umri wa miaka 23 kutoka Zambia amekuwa mwanasoka ghali zaidi kwa Mwanamke katika historia baada ya kujiunga na Bay Fc ya Marekani akitokea Madrid CFF…
MICHEZO Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF) , Patrice Motsepe , ameipa maua yake Côte d'ivoire kwa maandalizi mazuri ya michuano ya Afrika ya mwaka huu na…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania 🇹🇿.
MICHEZO
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni kwanini Novatus Dismas anakaa sana benchi ,je hana uwezo? au mabadiliko kwenye benchi la ufundi ni sababu ya kijana huyo kukosa nafasi ya kucheza?
Kwa mujibu wa Mwandishi mmoja wa habari nchini Ukraine 🇺🇦 amenukuliwa akisema;-
(more…)
MICHEZO Waandaaji wa tamasha la muziki la STAVERN FESTIVAL la Norway tayari wamewatangaza wasanii watakao shiriki mwaka 2024,Burna Boy ni mmojawapo wa hao. Tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika julai 3 mpaka…
MICHEZO Bodi inayotunga na kusimamia sheria na kanuni za mchezo wa soka Duniani maarufu kama IFAB imepitisha sheria ya kuwazuia wachezaji wengine kumzonga mwamuzi pale kunapokuwa na tukio la sintofahamu…
MICHEZO Bao la dakika za jioni kabisa la Kai Havertz dhidi ya Brentford limeipeleka Arsenal kileleni mwa msimamo wa EPL katika uwanja wa Brentford Community. Arsenal imefikisha alama 30 baada…
MICHEZO Nyota wa zamani wa vilabu mbalimbali Duniani, Alexander Song amestaafu rasmi akiwa na umri wa miaka 36. Mchezaji huyo raia wa Cameroon 🇨🇲 amevitumikia vilabu vya Arsenal, Barcelona na…