HAWA NDIO WASHINDI WA KUHIFADHI QURAN TUKUFU MWAKA 2024

HABARI KUU Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amewahimiza Waumini wa Dini ya kiislamu kuendelea kuhifadhi Quran Tukufu na kufundisha watoto wao kuisoma na pia wazidishe kutoa sadaka kwa watu wenye mahitaji hususani katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani. Rais Dk.Mwinyi amesema hayo katika fainali za 24 za Mashindano… Continue reading HAWA NDIO WASHINDI WA KUHIFADHI QURAN TUKUFU MWAKA 2024

NDOTO YA KOCHA SVEN-GORAN ERIKSSON YATIMIA AKIWA NA MIAKA 76

NYOTA WETU Meneja wa zamani wa timu ya Taifa ya England Sven-Goran Eriksson (76) alitokwa na machozi jana alipofanikiwa kutimiza ndoto yake kuu ya kabla ya kifo. Januari mwaka jana Kocha huyo mkongwe alitangaza kusumbuliwa na ugonjwa wa saratani ambao uko kwenye hatua za mwisho na hivyo siku zake za kuishi si nyingi. Katika mahojiano… Continue reading NDOTO YA KOCHA SVEN-GORAN ERIKSSON YATIMIA AKIWA NA MIAKA 76

RATIBA KAMILI YA KUAGA NA KUMZIKA ALI HASSAN MWINYI

HABARI KUU Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameitangaza ratiba ya maziko ya Rais wa mstaafu Ally Hassan Mwinyi itakayoanza leo saa tano na nusu asubuhi kwa mwili kuondoka nyumbani kwake Mikocheni kuelekea Msikiti Mkuu wa BAKWATA Kinondoni ambako Sheikh Dkt. Abubakar Bin Zuber Bin Ali ataongoza swala ya Ijumaa na taratibu zote za kidini. “Saa 8:00… Continue reading RATIBA KAMILI YA KUAGA NA KUMZIKA ALI HASSAN MWINYI

HISTORIA YA RAIS WA TANZANIA ALI HASSAN MWINYI

MAKALA Wasifu wa Rais wa Awamu ya Pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi ambaye amefariki dunia leo Alhamisi Februari 29, 2024. 👉 Alizaliwa Mei 8, 1925 katika Kijiji cha Kivule pembezoni mwa barabara inayotoka Dar es Salaam kwenda Kisiju wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani. 👉 Rais wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano… Continue reading HISTORIA YA RAIS WA TANZANIA ALI HASSAN MWINYI

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner