WANAOZALIWA NA JINSIA MBILI KUPATIWA MATIBABU HAYA

AFYA Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ametoa wito kwa Watanzania kuacha tabia ya kuwaficha watoto wenye jinsia mbili bali wawapeleke hospitali ili waweze kupata huduma mapema kwa kuwa tatizo hilo linatibika. Waziri Ummy amesema hayo wakati akifungua Mkutano Mkuu wa tatu wa Chama cha Madaktari wa Upasuaji Urolojia Tanzania (TAUS) unaofanyika Jijini Dar Es… Continue reading WANAOZALIWA NA JINSIA MBILI KUPATIWA MATIBABU HAYA

BONDIA WA KWANZA WA TANZANIA AONDOLEWA KWENYE ALL AFRICAN GAMES

MICHEZO Ajali ya kuvunjika mkono katika raundi ya mwisho ya mchezo imemuondoa katika mashindano bondia Abdallah Abdallah “Katoto” aliyekuwa akipambana na Wibshet Bekele kutoka Ethiopia. Ilikuwa katika bout no. 3 ya hatua ya 16 bora ya mashindano hayo katika uzani wa Fly weight 51kg ambapo Katoto alipata ajali hiyo akijiandaa kufanya shambulizi dhidi ya mpinzani… Continue reading BONDIA WA KWANZA WA TANZANIA AONDOLEWA KWENYE ALL AFRICAN GAMES

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner