WANAOZALIWA NA JINSIA MBILI KUPATIWA MATIBABU HAYA

AFYA Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ametoa wito kwa Watanzania kuacha tabia ya kuwaficha watoto wenye jinsia mbili bali wawapeleke hospitali ili waweze kupata huduma mapema kwa kuwa tatizo hilo linatibika. Waziri Ummy amesema hayo wakati akifungua Mkutano Mkuu wa tatu wa Chama cha Madaktari wa Upasuaji Urolojia Tanzania (TAUS) unaofanyika Jijini Dar Es… Continue reading WANAOZALIWA NA JINSIA MBILI KUPATIWA MATIBABU HAYA

MANCHESTER HAINA MPANGO NA SOFYAN AMRABAT

MICHEZO Klabu za AC Milan na Juventus zinaangalia uwezekano wa kumsajili kiungo wa Fiorentina na Morocco, Sofyan Amrabat ambaye kwa sasa anaichezea Manchester United kwa mkopo. Hadi sasa Man United haijaonyesha nia ya kutaka kumsainisha mkataba wa kudumu Amrabat aliyejiunga nao katika dirisha lililopita la majira ya baridi. Amrabat alijiunga na Man United kwa mkopo… Continue reading MANCHESTER HAINA MPANGO NA SOFYAN AMRABAT

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner