THE 28 LAWS OF LOVE

LOVE ❤ 1. If you want to be hugged; keep foul smells off, take showers, wear nice perfumes or colognes 2. If you want to be trusted; keep secrets shared with you, don’t judge 3. If you want to be sexed by your spouse; stay sexy and faithful 4. If you want to be listened… Continue reading THE 28 LAWS OF LOVE

AYRA STARR SPARKS A BUZZ AS SHE REJECTS MAN ON MATCHMAKING SHOW

OUR STAR 🌟 Ayra Starr sparks a buzz as she rejects man on matchmaking show:::: Nigerian music singer, Ayra Starr, crushed a young man’s heart when she rejected him on a matchmaking show. In a video circulating on social media, the Sabi Girl was partnered with a man identified as Chef Tomiwa on the United… Continue reading AYRA STARR SPARKS A BUZZ AS SHE REJECTS MAN ON MATCHMAKING SHOW

SERIKALI YA NIGERIA YAFANIKIWA KUWARUDISHA MATEKA 137

HABARI KUU Maafisa nchini Nigeria wamethibitisha kuokolewa kwa watu 137 waliotekwa na watu wenye silaha huko Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo wiki mbili zilizopita. Taarifa zimeeleza kuwa operesheni ya uokoaji ilifanyika alfajiri ya leo ikiwa ni siku chache kabla ya tarehe ya mwisho ya malipo yaliyoombwa na watekaji hao. Gavana wa Jimbo la Kaduna Uba… Continue reading SERIKALI YA NIGERIA YAFANIKIWA KUWARUDISHA MATEKA 137

SERIKALI YATETEA KAULI YA WAZIRI NDUMBARO

MICHEZO Siku chache baada ya Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo , Mh. Damas Ndumbaro kutoa kauli iliyoonekana kuchanganya watu kuelekea katika Michezo ya kimataifa inayozihusu Simba sc tanzania na yanga sc , Serikali imetokeza na kutoa neno juu ya kauli ya Waziri Ndumbaro. Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi amesema “Lugha za michezo, utani… Continue reading SERIKALI YATETEA KAULI YA WAZIRI NDUMBARO

SUA YAPONGEZWA KWA MATUMIZI YA BILIONI 74 VIZURI

HABARI KUU Katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA) kimepokea jumla ya shilingi bilioni 73.6 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa HEET. Akizungumza na Waandishi wa Habari Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Raphael Chibunda amesema fedha hizo zimetumika… Continue reading SUA YAPONGEZWA KWA MATUMIZI YA BILIONI 74 VIZURI

WHAT TO DO WHEN YOUR SPOUSE GIVES YOU SILENT TREATMENT

LOVE ❤ 1. Relax. Know that tough times and challenges will be there. Don’t be irrational or frantic. Excercise patience 2. Look back. What brought about the silent treatment? Something you said? Something you did or didn’t do? Misunderstanding? 3. Pray about it. Let God reveal to you how to go about it. Repent to… Continue reading WHAT TO DO WHEN YOUR SPOUSE GIVES YOU SILENT TREATMENT

5 BEST HUMAN NATURE INFLUENCES

Love ❤ 1. Men and Women Have Different Sexual Preferences: It highlights the differences in sexual preferences between men and women, based on the analysis of online search behavior. It discusses how men tend to be more visually stimulated, while women often seek emotional connections in their sexual experiences. 2. Evolutionary Influences on Sexual Behavior:… Continue reading 5 BEST HUMAN NATURE INFLUENCES

ANGELINA JOLIE AISHUTUMU ISRAEL

NYOTA WETU Muigizaji mkongwe na mshindi wa tuzo za Oscar ,Jon Voight (84) ambaye ni baba mzazi wa Muigizaji Angelina Jolie (48) ameelezea kusikitishwa kwake na maoni ya binti yake kuhusu mashambulio ya Israel yanayoendelea huko Gaza. Kupitia mtandao wa Instagram Jolie aliandika “Shambulio la kigaidi la Hamas haliwezi kuhalalisha kulipuliwa na kupoteza maisha ya… Continue reading ANGELINA JOLIE AISHUTUMU ISRAEL

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner