USAFIRI KWENDA KIGAMBONI WASIMAMISHWA KWA MUDA

HABARI KUU Watumiaji wa kivuko cha Magogoni MV Kigamboni na wananchi kwa ujumla wanaarifiwa kuwa Kivuko MV. KIGAMBONI kinachotoa huduma eneo hilo, kitasimama kutoa huduma kuanzia alfajiri ya siku ya Ijumaa Tarehe 07 Juni, 2024. Taarifa ya Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) imebainisha kuwa Kivuko hicho kinasimama kutoa huduma kwa ajili ya kwenda… Continue reading USAFIRI KWENDA KIGAMBONI WASIMAMISHWA KWA MUDA

ANTHONY MARTIAL KUONDOKA MANCHESTER UNITED

MICHEZO Mshambuliaji wa Man Utd, Anthony Martial ataondoka kwenye kikosi hicho katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi ambapo mkataba wake utamalizika na Man United imekataa kutumia kipengele cha kuurefusha mkataba huo kwa mwaka mmoja zaidi. Martial mwenye umri wa miaka 28, alidaiwa kuwa angeondoka tangu Januari mwaka huu ambapo Marseille, Fernebanhce na timu kibao… Continue reading ANTHONY MARTIAL KUONDOKA MANCHESTER UNITED

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner