FAHAMU SABABU KWANINI WATOTO HUWA WANALIA USIKU

Watoto huelezea hisia zao tofauti na watu wazima ambao mojawapo ni kulia, watoto kulia usiku ni hali ya kawaida ambayo inaweza kusababishwa na mambo mbalimbali. Kujua sababu hizi na kuchukua hatua sahihi kunaweza kusaidia kumtuliza mtoto na kuhakikisha usiku mzuri wa kulala. Sababu hizo ni:- 1️⃣Njaa: Watoto wadogo, hasa wachanga, wanaweza kulia usiku kwa sababu… Continue reading FAHAMU SABABU KWANINI WATOTO HUWA WANALIA USIKU

HABITS OF BABY HUSBAND

JE ULAJI WA UDONGO UNA MADHARA GANI KWA MAMA NA MTOTO ALIYEPO TUMBONI

Kula udongo wakati wa ujauzito ni tabia inayojulikana kama “geophagy” au “pica,” na inaweza kuonekana katika maeneo mbalimbali duniani kwa wanawake hususani wakati wa ujauzito. Ingawa kuna imani kwamba kula udongo kunaweza kuwa na faida kwa mjamzito!. Japo ukweli ni kwamba kuna hatari nyingi zinazoweza kuathiri afya ya mama na mtoto kutokana na ulaji wa… Continue reading JE ULAJI WA UDONGO UNA MADHARA GANI KWA MAMA NA MTOTO ALIYEPO TUMBONI

HATUA ZA KUFUATA KUHAKIKISHA MAMA ANAJIFUNGUA SALAMA

Kupata ujauzito ni jambo la kusisimua na lenye kuleta furaha kwenye familia baina ya wapendanao. Na Ili kuhakikisha afya njema kwa mama na mtoto, ni muhimu kuchukua hatua sahihi mara tu baada ya kugundua kuwa mama ana ujauzito. Zifuatazo ni hatua muhimu za kuchukua baada ya mama kupata ujauzito; 1️⃣. Panga Ziara ya kumuona Daktari:… Continue reading HATUA ZA KUFUATA KUHAKIKISHA MAMA ANAJIFUNGUA SALAMA

13 BEST REASON WHY HUMILITY IS IMPORTANT IN MARRIAGE

JE NI NJIA IPI SALAMA YA KUJIFUNGUA MTOTO?

AFYA Kujifungua ni tukio muhimu na la kipekee katika maisha ya mwanamke.Njia za kujifungua zina jumuisha kujifungua kwa kawaida (vaginal delivery) na kujifungua kwa upasuaji (caesarean section).Na kila njia ina faida na hatari zake, na uamuzi wa njia bora unategemea hali ya afya ya mama na mtoto, pamoja na mapendekezo ya kitaalamu. Maelezo ya kina… Continue reading JE NI NJIA IPI SALAMA YA KUJIFUNGUA MTOTO?

Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kiume

AFYA Kumekuwa na imani nyingi kuhusu dalili za mimba ya mtoto wa kiume katika mimba Changa na kina mama wengi wajawazito wanakuwa na shauku kubwa kujua jinsia za watoto wao waliopo tumboni mapema kabla ya kujifungua. Mojawapo ya imani hizo ni kama; 4.Mama mwenye mtoto wa kiume tumboni hupendelea kula vyakula vichungu kama ukwaju,Ndimu mbichi… Continue reading Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kiume

HOW TO LOVE YOUR HUSBAND

5.Buy him an expensive cologne, don’t buy into the cheap rumors being spread about him

16 IMPORTANT THINGS COUPLES SADLY STOP DOING WHEN THEY GET MARRIED:

Many act as if the good things they do while dating are just a strategy to get the one they are eyeing to marry; as if once they marry that person the good things they did are no longer necessary. Carry forward into marriage the good things you did for your loved one when you… Continue reading 16 IMPORTANT THINGS COUPLES SADLY STOP DOING WHEN THEY GET MARRIED:

NI KWANINI VIJANA NCHINI JAPAN HAWAPENDI KUINGIA KWENYE MAHUSIANO?

Kiwango cha uzazi nchini Japan ambacho kimezidi kushuka kwa kasi kwa miaka mingi na kufikia rekodi nyingine ya chini zaidi hivi karibuni, kimeifanya Serikali ya Nchi hiyo kuongeza ubunifu kwenye kampeni zake za kuwahimiza Vijana kuoa na kuanzisha familia ambapo sasa imezindua Program ya simu ambayo kazi yake mahususi ni kurahisisha Watu kuchumbiana. Kwenye program… Continue reading NI KWANINI VIJANA NCHINI JAPAN HAWAPENDI KUINGIA KWENYE MAHUSIANO?

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner