UNYWAJI POMBE KWENYE NDEGE UNAVYOSABABISHA MAGONJWA YA MOYO

Wanasayansi wameonya Watu wasinywe pombe kabla ya kulala kwenye ndege wakisema kipindi ambacho ndege ipo futi 8,000 angani, viwango vya hewa ya oxygen pamoja na presha ya hewa huwa vipo chini kuliko hali ya kawaida Duniani na kwamba yote hayo yakichanganywa na vilevi pamoja na usingizi kuna uwezekano mkubwa zaidi kwamba viwango vya oxygen katika… Continue reading UNYWAJI POMBE KWENYE NDEGE UNAVYOSABABISHA MAGONJWA YA MOYO

MAKONDA ATOA MBINU HIZI KUONGEZA KASI YA WATALII ARUSHA

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ametoa muda wa miezi miwili kwa Vyombo husika chini ya R.T.O kuhakikisha kila gari la TAXI linalofanya kazi katika Mkoa wa Arusha linakuwa na rangi maalum tofauti na ilivyo sasa ambapo amesema TAXI zina rangi tofautitofauti zinazopoteza mandhari na uzuri wa utalii. Makonda ameyasema haya leo June 8… Continue reading MAKONDA ATOA MBINU HIZI KUONGEZA KASI YA WATALII ARUSHA

Chelsea acquired the services of defender Tosin Adarabioyo from Premier League rivals Fulham.

SPORTS Chelsea Football Club has acquired defender Tosin Adarabioyo from Fulham on a no-cost transfer. The 26-year-old has inked a four-year contract with the Blues. Adarabioyo, who transferred to Fulham from Manchester City in 2020, expressed gratitude to Fulham supporters and the club on Thursday through a statement on his X page. In a heartfelt… Continue reading Chelsea acquired the services of defender Tosin Adarabioyo from Premier League rivals Fulham.

Ulimwengu wa kandanda umejaa utajiri na mafanikio, na hii huonekana wazi kwenye magari ya kifahari wanayomiliki wachezaji nyota. Magari haya yanaashiria sio tu utajiri wao bali pia ladha yao ya kipekee na mitindo ya maisha ya kuvutia. Hapa ni baadhi ya wachezaji wa mpira wenye majina makubwa huko ‘duniani’ wanaomiliki magari ya bei ghali zaidi.

OMchezaji wa timu ya Taifa ya Ureno na klabu ya Al Nassr, Cristiano Ronaldo ni miongoni mwa wachezaji wanaomiliki magari ya kifahari na bei ghali zaidi duniani. Miongoni mwa magari yake ni pamoja na Bugatti Chiron, Lamborghini Aventador, Rolls-Royce Cullinan, Buggati la Voiture Noire na Buggati Veyron Grand Sports Vitesse. Lionel Messi, mchezaji kutoka Argentina… Continue reading Ulimwengu wa kandanda umejaa utajiri na mafanikio, na hii huonekana wazi kwenye magari ya kifahari wanayomiliki wachezaji nyota. Magari haya yanaashiria sio tu utajiri wao bali pia ladha yao ya kipekee na mitindo ya maisha ya kuvutia. Hapa ni baadhi ya wachezaji wa mpira wenye majina makubwa huko ‘duniani’ wanaomiliki magari ya bei ghali zaidi.

6 COMMON MISTAKES MEN MAKE IN BED

Men make lots of these mistakes in bed and it’s really important we always talk about until these mistakes become a thing of the past. I had to write about this after a reader sent a message complaining about the mistakes her man keeps making in bed and how he won’t learn. Keep on reading… Continue reading 6 COMMON MISTAKES MEN MAKE IN BED

KWANINI PAUL KAGAME ANAMHOFIA DIANE RWIGARA?

SIASA Mwanasiasa wa upinzani nchini Rwanda Diane Rwigara ameondolewa kinyang’anyiro cha urais kwa kutotimiza vigezo vya Tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Tume hiyo Oda Gasinzigwa, Rwigara pamoja na kuwa na vitambulisho ghushi vya wafuasi wake pia alishindwa kuwasilisha hati ya rekodi ya uhalifu. ”Rwigara Shima Diane, badala ya hati… Continue reading KWANINI PAUL KAGAME ANAMHOFIA DIANE RWIGARA?

Reality TV star Mercy Eke expressed alarm after CBN revoked the banking licence of Heritage Bank,where she has over N100 million in savings

CELEBRITIES The recent revelation by BBNaija 2019 champion, Mercy Eke, has sparked online buzz. Eke shared that she has accumulated over N100 million in her Heritage Bank account. In response to news that Heritage Bank’s operating license has been revoked by the Central Bank of Nigeria (CBN), which is initiating liquidation proceedings with the Nigeria… Continue reading Reality TV star Mercy Eke expressed alarm after CBN revoked the banking licence of Heritage Bank,where she has over N100 million in savings

TP OK JAZZ MEMBERS WHO ARE STILL ALIVE

TP OK JAZZ MEMBERS WHO ARE STILL ALIVE:

Orodha ya washindani wa Paul Kagame uchaguzi mkuu nchini Rwanda

SIASA Tume Huru ya uchaguzi nchini Rwanda imewaidhinisha watu watatu katika kuwania kiti cha Urais katika uchaguzi mkuu ujao mwezi Julai. Paul Kagame kutoka chama cha FPR , Frank Habineza wa chama cha Democratic Green Party na Philippe Mpayimana mgombea binafsi ndio walioidhinishwa na tume huye licha ya Rais Paul Kagame kupewa nafasi kubwa na… Continue reading Orodha ya washindani wa Paul Kagame uchaguzi mkuu nchini Rwanda

9 REASONS WHY MARRIAGE IS NOT A COMPETITION

Remember: Every couple has a unique way of handling relationships that cannot be competing with others. I hope these will be the best guide for us to eliminate misunderstandings and conflicts in the family.

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner