MESSI ATAJA SABABU ZA VURUGU UWANJANI MARACANA

MICHEZO

Nahodha wa timu ya Argentina, Leonel Andres Messi ameelezea hisia zake juu ya vurugu zilizozuka uwanjani na kusababisha mchezo wa kufuzu kombe la Dunia kati ya Brazil na Argentina kuchelewa kwa muda baada ya polisi wa Brazil na mashabiki wa Argentina kuingia katika mzozo.

“Timu hii imeendelea kuweka historia, ushindi mzuri katika uwanja wa Maracana ingawa utakumbukwa kwa ukandamizaji wa Waargentina tena nchini Brazil.Hali hii sio ya kukubalika ,ni ya kushangaza na inahitaji kukomeshwa sasa”

(more…)

Loading

Continue ReadingMESSI ATAJA SABABU ZA VURUGU UWANJANI MARACANA