AJALI YAUA WAANDISHI WA HABARI RUFIJI PWANI

HABARI KUU Wanabari Wawili wa Mkoa wa Lindi wakiripotia Star TV& Radio Free Africa na mwingine wa Channel Ten wamefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Nyamwage mkoa wa kipolisi Rufiji (Pwani) usiku wa kuamkia Leo March 26 ) Sshuhuda wa ajali hiyo Alli Husein alisema Waandishi hao walikuwa wanatokea Dar es Saalam kwenye… Continue reading AJALI YAUA WAANDISHI WA HABARI RUFIJI PWANI

JOAN LAPORTA NA BARCELONA YAKE WAKATAA KUMUUZA LAMINE YAMAL

MICHEZO Rais wa FC Barcelona Joan Laporta amekiri kuwa klabu hiyo imekataa ofa ya Pauni milioni 200 (sawa na Sh bilioni 551) kwa ajili ya Lamine Yamal. Taarifa hiyo imetolewa hivi karibuni, kupitia kwa wakala Jorge Mendes baada ya kutoa mapendekezo kuhusu mshambuliaji huyo wa Blaugrana. FC Barcelona imekataa kabisa ofa kutoka klabu ya Ufaransa… Continue reading JOAN LAPORTA NA BARCELONA YAKE WAKATAA KUMUUZA LAMINE YAMAL

CHRISTOPH BAUMGARTNER AWEKA REKODI HII

NYOTA WETU Kiungo Christoph Baumgartner wa Austria jana alifunga bao ndani ya sekunde 6 za mechi na kuvunja rekodi ya bao lililofungwa kwa haraka zaidi katika soka la Kimataifa. Baumgartner (24) anayeichezea RB Leipzig ya Ujerumani pamoja na timu ya taifa ya Austria aliifunga bao hilo wakati wa mechi ya kirafiki kati ya Austria na… Continue reading CHRISTOPH BAUMGARTNER AWEKA REKODI HII

Droo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imekamilika huku vigogo 8 waliofuzu hatua hiyo wakibaini wapinzani wao.

Kama kawaida, Washika Mitutu, Arsenal wamepangwa dhidi ya Bayern Munich kwenye hatua hiyo huku Mabingwa watetezi wa Ligi hiyo, Manchester City wakikutanishwa na Mabingwa wa kihistoria, Real Madrid.

Barcelona imepewa PSG huku Atletico Madrid ikipewa Borussia Dortmund.

DROO KAMILI

Arsenal 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 vs. 🇩🇪 Bayern Munich
Atletico Madrid 🇪🇸 vs. 🇩🇪 Dortmund
Real Madrid 🇪🇸 vs. 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Manchester City
Paris Saint-Germain 🇫🇷 vs. 🇪🇸 Barcelona

Mshindi kati ya Arsenal na Bayern Munich atachuana na mshindi kati ya Real Madrid na Manchester City kwenye hatua ya nusu fainali.

Mshindi kati ya PSG na Barcelona atachuana na mshindi kati ya Atletico Madrid dhidi ya Borussia Dortmund.

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner