THINGS WOMEN REALLY WANT IN BED

Starting Now Don’t be a boring reader, please always React on my Comments as you read point by point. If you are not following make sure you click the follow button! If this thread is not for you skip 🔞 When she visits you ,she doesn’t want you to grope her straight away. It turns… Continue reading THINGS WOMEN REALLY WANT IN BED

Ederson Moraes yuko mbioni kuiacha Manchester City

MICHEZO Mlinda Lango wa Mabingwa wa Soka nchini England Manchester City Ederson Santana de Moraes anatajwa kuwa mbioni kuihama klabu hiyo, iliyomsajili miaka saba iliyopita. Taarifa zilizochapishwa kwenye Gazeti la The Mirror mapema leo Jumatano (Mei 22), imeeleza kuwa Mlinda lango huyo kutoka nchini Brazil anajipanga kuondoka na kutimkia Saudi Arabia. Ederson mwenye umri wa… Continue reading Ederson Moraes yuko mbioni kuiacha Manchester City

Mwanzo Mwisho wa Maisha ya Ebrahim Raisi kiongozi mkuu wa Iran

NYOTA WETU Ebrahim Raisolsadati maarufu kama Ebrahim Raisi aliyekuwa amefikisha miaka 64, alikuwa akipigiwa upatu kuwa mrithi anayeweza kukalia kiti cha Ayatollah Ali Khamenei kama Kiongozi Mkuu, nafasi ambayo ni ya juu kabisa ya kisiasa na kidini katika jamhuri hiyo ya Kiislamu na akitajwa kama mtu mwenye msimamo mkali wa kidini. Alichaguliwa kuwa rais wa… Continue reading Mwanzo Mwisho wa Maisha ya Ebrahim Raisi kiongozi mkuu wa Iran

Three Chibok girls in 2014 earned University degrees from the (AUN),founded by former Nigerian Vice President Atiku Abubakar

HARD NEWS Three of the Chibok girls who fled from their Boko Haram captors have finished university education with degrees from the American University of Nigeria (AUN) established by Atiku Abubakar. During their graduation on Saturday, May 18, 2024, these three former hostages were among 189 students awarded bachelor’s degrees. During the commencement ceremony in… Continue reading Three Chibok girls in 2014 earned University degrees from the (AUN),founded by former Nigerian Vice President Atiku Abubakar

BENFICA NA MIPANGO YA KUMPA JOSE MOURINHO KAZI

MICHEZO Imefahamika kuwa Kocha kutoka nchini Ureno Jose Mourinho anafahamu kila kitu kuhusu mpango wa kuhusishwa na ajira kwenye klabu ya SL Benfica. Kocha huyo wa zamani wa Chelsea na Inter Milan anahusishwa na SL Benfica kwa ajili ya msimu ujao 2024/25, kufuatia kocha mkuu wa sasa wa klabu hiyo Roger Schmidt, kuhusishwa na Klabu… Continue reading BENFICA NA MIPANGO YA KUMPA JOSE MOURINHO KAZI

SPIKA WA BUNGE ATOA YA MOYONI KUHUSU YANGA KUDHURUMIWA GOLI

HABARI KUU “Mimi niliona ni goli” Akizungumza na Idhaa ya Taifa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt . Tulia Akson Mwansasu ametoa maoni yake kuhusu goli lililofungwa na Yanga. “Niseme kama Mtanzania ningetaraji timu zetu zingesonga zaidi ila wamejitahidi kwa kweli kufika robo fainali timu mbili kutoka nchi moja sio jambo… Continue reading SPIKA WA BUNGE ATOA YA MOYONI KUHUSU YANGA KUDHURUMIWA GOLI

RUBEN AMORIM AKANA UVUMI WA KUJIUNGA NA LIVERPOOL

MICHEZO Kocha Mkuu wa Sporting CP, Ruben Amorim, amepuuzilia mbali uvumi kuhusu hatma yake na kusema kwamba kushinda mataji msimu huu katika klabu hiyo ya Ureno ndicho kipaumbele chake kikuu. Kocha huyo mwenye umri wa miaka 39, amekuwa akihusishwa na kuchukua jukumu la kuinoa Liverpool, huku Jurgen Klopp akitarajiwa kuondoka mwishoni mwa msimu huu. Uvumi… Continue reading RUBEN AMORIM AKANA UVUMI WA KUJIUNGA NA LIVERPOOL

BONDIA MTANZANIA DULLA MBABE APIGWA KWA KNOCK OUT

MICHEZO Bondia Mtanzania Abdallah Pazi almaarufu Dulla MBABE amepigwa kwa ‘Knock Out’ kwenye raundi ya 4 katika pambano la raundi 10 na bondia Callum Simpson raia wa Uingereza katika pambano lililofanyika huko huko Uingereza.

HARRYSONG’S ESTRANGED WIFE ALEXER LOSES PREGNANCY

OUR STAR 🌟 The estranged wife of singer Harrysong, Alexer Perez Gopa, has shared heartbreaking news of a miscarriage. The mother of two took to her Instagram story to express her sorrow over the loss, revealing the pain she endured and her frustration as she prayed to God. “My innocent little one had to go… Continue reading HARRYSONG’S ESTRANGED WIFE ALEXER LOSES PREGNANCY

SABABU ZA REAL MADRID KUTAKA HUDUMA YA TRENT ALEXANDER-ARNOLD

MICHEZO Beki wa kulia wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold yuko kwenye rada za Real Madrid kabla ya kumalizika kwa mkataba wake mwaka 2025, kwa mujibu wa ripoti. Alexander-Arnold yuko katika miezi 18 ya mwisho ya mkataba wake wa sasa na bado hakujawa na mazungumzo ya kuongeza muda, na Liverpool kwa sasa wanafanya kazi ya kutafuta kocha… Continue reading SABABU ZA REAL MADRID KUTAKA HUDUMA YA TRENT ALEXANDER-ARNOLD

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner