MAHAMADOU DIAWARA AJIONDOA UFARANSA KWASABABU YA RAMADAN

NYOTA WETU Shirikisho la soka Ufaransa (FFF ) limewapiga marufuku wachezaji kufunga Ramadhan wakati wa mapumziko ya mechi za kimataifa. Sheria mpya za FFF zinasema kwamba wachezaji walioitwa na timu za taifa za Ufaransa hawawezi kufunga kipindi cha Ramadhani wakati wakiwa na timu za Taifa. Kila kocha mkuu wa timu za taifa za Ufaransa, kuanzia… Continue reading MAHAMADOU DIAWARA AJIONDOA UFARANSA KWASABABU YA RAMADAN

BUNGE LAITAKA SERIKALI KUPUNGUZA GHARAMA ZA UMEME

HABARI KUU Mwenyekiti Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Dkt. David Mathayo ameishauri Serikali kuangalia gharama za uunganishaji umeme kwa Wananchi wanaoishi katika maeneo yanayotambulika kama Vijiji Miji, ili kuwawezesha Wananchi wengi kuunganisha umeme kwenye maeneo yao. Ameshauri kuwe na usawa wa gharama za uunganishaji umeme kati ya wananchi wa vijijini na… Continue reading BUNGE LAITAKA SERIKALI KUPUNGUZA GHARAMA ZA UMEME

16 IMPORTANT THINGS COUPLES SADLY STOP DOING WHEN THEY GET MARRIED

LOVE ❤ 1. SAYING I LOVE YOU It is sad that it is difficult for couples married for years to tell each other ‘I love you’ yet when they were dating those three words were spoken so easily 2. PRAYING TOGETHER When a man and woman start dating, they often tend to involve God. They… Continue reading 16 IMPORTANT THINGS COUPLES SADLY STOP DOING WHEN THEY GET MARRIED

Kocha wa FC Porto, Sergio Conceicao amemshutumu Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta kwa kuitukana familia yake wakati Waingereza hao juzi Jumanne (Machi 12) usiku wakishinda kwa mikwaju ya Penati dhidi ya timu hiyo ya Ureno na kujikatia tiketi ya kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya kwanza tangu 2010.

Alipotakiwa kufafanua kilichotokea, Conceicao kupitia mkalimani wa Shirikisho la Soka Barani Ulaya ‘UEFA’ alinukuliwa akisema, “Wakati wa mchezo na kuelekea benchi yeye, kwa Kihispania, sijui ndio ilivyo kwa makocha wa Hispania, aliitukana familia yangu. “Na kisha mwishoni, nilisema tafadhali usimtukane mtu ambaye hayupo hapa kati yetu, unapaswa kuzingatia mafunzo ya timu yako,” alisema Conceicao. Hata… Continue reading Kocha wa FC Porto, Sergio Conceicao amemshutumu Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta kwa kuitukana familia yake wakati Waingereza hao juzi Jumanne (Machi 12) usiku wakishinda kwa mikwaju ya Penati dhidi ya timu hiyo ya Ureno na kujikatia tiketi ya kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya kwanza tangu 2010.

KLOPP AMALIZANA NA GUARDIOLA

MICHEZO Pambano la mwisho kati ya Pep Guardiola na Jurgen Klopp kwenye Ligi Kuu England limemalizika kwa sare ya 1-1 katika dimba la Anfield. FT: Liverpool 1-1 Manchester City⚽ Mac Allister (P) 50′⚽ John Stones 23 Hili ni pambano la 30 kati ya Klopp na Pep Guardiola ambapo Mjerumani huyo ameshinda mara 12, Mhispania akishinda… Continue reading KLOPP AMALIZANA NA GUARDIOLA

HOW TO MAKE AN EXCELLENT MAN FALL IN LOVE WITH YOU

LOVE ❤ Are you tired of being repulsive to men? Do they just date you and then dump you? Here are things you can do to make a man fall in love with you, propose to you, get married to you and stick to you forever… 1. RESPECT HIM: Learn-to respect men from the bottom… Continue reading HOW TO MAKE AN EXCELLENT MAN FALL IN LOVE WITH YOU

HOW TO SURVIVE IN A LONG-DISTANCE RELATIONSHIP OR MARRIAGE

LOVE ❤ The word survive is used because everyone’s desire is to live within reach of their partner. But sometimes life gives you a good partner yet circumstance separates you physically. How do you cope? 1. TRUST EACH OTHER Trust is the reason that will keep the fire burning. Trust is not just blindly given,… Continue reading HOW TO SURVIVE IN A LONG-DISTANCE RELATIONSHIP OR MARRIAGE

ARSENE WENGER AISHAURI LIVERPOOL

MICHEZO Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger amewaonya mabosi wa Liverpool kwamba wasimtumie Jurgen Klopp kama mshauri wa kupendekeza Kocha mpya atakayechukuwa mikoba yake baada ya yeye kuondoka mwisho wa msimu. Klopp ambaye ataondoka Liverpool mwisho wa msimu huu ikiwa ni baada ya kuhudumu kwa miaka tisa, hivi karibuni alifanya mahojiano na kusema kwamba… Continue reading ARSENE WENGER AISHAURI LIVERPOOL

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner