KIFO CHA MUME WA ARYNA SABALENKA CHAIBUA MAZITO

NYOTA WETU Polisi nchini Marekani wanaendelea na uchunguzi juu ya kifo cha mpenzi wa Nyota wa Tennis Aryna Sabalenka kinachosadikiwa kuwa ni cha kujiua. Konstantin Koltsov (42) wa Belarus ambaye ni mchezaji wa kulipwa wa Ice Hockey alikutwa akiwa amefariki ndani ya Hoteli huko Miami, Florida. Kifo cha Mwanamichezo huyo kilitangazwa na klabu ya Salatav… Continue reading KIFO CHA MUME WA ARYNA SABALENKA CHAIBUA MAZITO

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner