WIMBO ULIOMTOA ZUCHU WAFIKISHA WATAZAMAJI MILIONI 100DiscoverCars.com

NYOTA WETU Mwanamuziki Zuhura Othman (Zuchu) ameandika rekodi ya kuwa msanii wa kwanza Tanzania na Afrika Mashariki kuwa na video moja iliyofikisha idadi ya watazamaji milioni 100 katika mtandao wa YouTube kupitia wimbo wa Sukari. Kabla ya hapo hakuna msanii yeyote binafsi ‘solo’ aliyewahi kutoa video iliyofikia mafanikio hayo kwa Tanzania na Afrika Mashariki maana… Continue reading WIMBO ULIOMTOA ZUCHU WAFIKISHA WATAZAMAJI MILIONI 100DiscoverCars.com

UFAFANUZI WA ULINZI WA KIONGOZI WA KOREA KASKAZINI KIM JONG UN “KIDUKU”

MAKALA Kama inavyofahamika dhahiri kuwa ni vigumu kwa mwanga wa mshumaa kudumu katikati ya upepo wa kimbunga unaoangusha maghorofa; vivyo hivyo ni vigumu hata kwa ‘inzi’ mwenye nia ovu kumsogelea Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un. Huyu ni kiongozi ambaye vyombo vya habari vya Magharibi vimekuwa vikimuelezea kwa namna ambayo imetofautiana sana na mtazamo wa… Continue reading UFAFANUZI WA ULINZI WA KIONGOZI WA KOREA KASKAZINI KIM JONG UN “KIDUKU”

KASI YA ONGEZEKO LA WAJANE YASHTUA HADHARI YATOLEWA

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

Rais wa Nigeria Bola Tinubu amepiga marufuku safari zote za Nje za Viongozi kwa muda wa miezi mitatu kuanzia Aprili 1, 2024, lengo likitajwa kuwa ni mpango wa kubana na kupunguza Matumizi ya Serikali yasiyo na ulazima.

Hatua ya Rais inafuatia uwepo wa malalamiko ya Wananchi wanaodai Serikali imekuwa na matumizi makubwa ya Fedha za Walipa Kodi yasiyo na tija, zikiwemo Safari za Mfululizo za Viongozi akiwemo Rais aliyefanya safari 15 kwenda nje ya nchi tangu alipoapishwa Mei 29, 2023. Hii ni mara ya pili kwa Rais Tinubu kuchukua maamuzi ya kudhibiti… Continue reading Rais wa Nigeria Bola Tinubu amepiga marufuku safari zote za Nje za Viongozi kwa muda wa miezi mitatu kuanzia Aprili 1, 2024, lengo likitajwa kuwa ni mpango wa kubana na kupunguza Matumizi ya Serikali yasiyo na ulazima.

15 THINGS YOU SHOULD NOT BELIEVE ABOUT YOUR WIFE

1. Don’t believe that your wife is a mistake in your life

2. Don’t believe that you can go far in life by neglecting your wife

3. Don’t believe that you can cheat on your wife & go scot-free.

4. Don’t believe that you did your wife a favour by marrying her.

5. Don’t believe that sex with your wife will destroy your anointing.

6. Dont believe that sex with another woman is better than sex with your wife.

7. Don’t believe that your wife is your slave.

8. Don’t believe that your wife’s opinion does not count in your life and your family success.

9. Don’t believe that your wife knows nothing.

10.Don’t believe that there is something in the body of another woman that is not in the body of your wife except you are looking for your early grave.

11. Don’t believe your wife has all it takes to raise your children alone.

13. Don’t believe that the best way to correct your wife is to beat her.

14. Don’t believe that your wife is so strong that she does not need your help, attention and affection.

15. Don’t believe that God is not aware of how you are treating your wife.



9 TYPES OF GUY THAT IS NO MORE INTERESTED IN YOU

LOVE ❤ Why do ladies like to suffer heart breaks before they learn a simple lesson and move on? Don’t attach yourself to a man who is obviously no longer interested in you or has put a full stop to your relationship with him. Here are the signs that guy is no longer interested and… Continue reading 9 TYPES OF GUY THAT IS NO MORE INTERESTED IN YOU

MADAKTARI WAZAWA WATENGANISHA WATOTO MAPACHA WALIOUNGANA

HABARI KUU Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa mara nyingine imeandika historia kwa kufanya upasuaji mkubwa wa kuwatengenisha watoto mapacha waliokuwa wameungana sehemu ya tumbo na kifua na kuwa upasuaji wa kwanza kufanywa na madaktari wazawa hapa nchini. Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa Huduma za Upasuaji Dkt. Rachel Mhaville amesema upasuaji huo umefanikiwa kutokana… Continue reading MADAKTARI WAZAWA WATENGANISHA WATOTO MAPACHA WALIOUNGANA

WHY YOU SHOULD START READING BOOKS

❤ 1. READ TO Acquire knowledge. 2. READ TO Improve memory. 3. READ TO Strengthen critical and Analytical skills. 4. READ TO Advance your career. 5. READ TO Improve writing skills. 6. READ TO Reduce stress and anxiety. 7. READ TO Improve focus and concentration. 8. READ TO Boost Inspiration and Motivation. 9. READ TO… Continue reading WHY YOU SHOULD START READING BOOKS

AYEW KUWEKA REKODI HII AFRICON 2024

NYOTA WETU Nahodha wa kikosi cha “Black Stars ” timu ya taifa ya Ghana, Andre Ayew anatarajia kuweka rekodi ya kuwa mchezaji aliyeshiriki Mara nyingi kwenye michuano ya kombe la Mataifa ya Afrika kwa mara ya nane (8). Andre Ayew , alianza kuitumikia timu yake hiyo ya taifa mwaka 2008 lakini kwenye michuano ya 2013… Continue reading AYEW KUWEKA REKODI HII AFRICON 2024

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner