PAUL MAKONDA AMTETEA MAGUFULI

HABARI KUU Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda, amewataka wale aliowaita Wanasiasa uchwara wanaojipendekeza kwa Rais Samia kwa kumtenganisha na Mtangulizi wake Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kuacha mara moja tabia hiyo kwakuwa Viongozi hao wote ni kitu kimoja na hauwezi kuwatenganisha. Akiongea Jijini Dar es salaam leo wakati… Continue reading PAUL MAKONDA AMTETEA MAGUFULI

FAHAMU KUHUSU ULINZI WA RAIS WA MAREKANI

MAKALA Unaweza kujiuliza Taifa kubwa ambalo limewahi kuwashuhudia maraisi wake wanne wakiuwawa mbele ya macho yao, licha ya ulinzi mkali litakuwa ‘serious’ kiasi gani katika kuepukana na aibu hiyo. Ukijiuliza hilo utafahamu kuwa suala la kumlinda rais wa Marekani si la kupuuza. Leo nakulete siri kuhusu walinzi wa Rais wa Marekani wafahamikao kama ‘Secret Services’… Continue reading FAHAMU KUHUSU ULINZI WA RAIS WA MAREKANI

SABABU YA KIFO CHA MZEE WA MJEGEJE

NYOTA WETU Msanii wa vichekesho Umar lahbedi Issa almaarufu la Mzee wa Mjegeje amefariki dunia leo alfajiri katika Hospitali ya Mwananyamala alipokuwa akipatiwa matibabu. Meneja wa msanii huyo amethibitisha taarifa za kifo hicho huku chanzo cha kifo chake kikitajwa kuwa alikuwa anaumwa maradhi ambayo hayajawekwa wazi.

WHEN SEX IN MARRIAGE IS SWEET EXPECT THESE img

LOVE ❤ WHEN SEX IN MARRIAGE IS SWEET_____________________________1. Affairs are less likely to happen.2. The house is full of warmth.3. Both of them want more of it.4. Sleep is more pleasurable.5. It leads to emotional and mental well being.6. Conflicts rarely occur and when they do, they are quickly resolved.7. Conversations are more intimate.8. Making… Continue reading WHEN SEX IN MARRIAGE IS SWEET EXPECT THESE img

MFAHAMU MSANII AYRA STARR WA NIGERIA

MICHEZO/BURUDANI Staa mwimbaji wa muziki wa Afrobeat kutoka Nigeria Ayra Starr (21) amefanya mahojiano na Billboard weekend iliyopita na kufunguka kuwa alihitimu chuo akiwa na umri mdogo sana, miaka 17 tayari alikuwa na degree. Mkali huyo wa Mavin Records amefunguka kuwa mama yake alikuwa akimzuia kukimbilia kwenye muziki kabla hajahitimu masomo, kwasababu aligundua Ayra alikuwa… Continue reading MFAHAMU MSANII AYRA STARR WA NIGERIA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner