UTAMU WA MECHI YA AZAM NA YANGA HUKO HAPA

MICHEZO Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara inaendelea tena leo Machi 17, 2024 ambapo vinara wa Ligi hiyo, Young Africans Sc watakuwa na kibarua dhidi ya Wanalambalamba, Azam Fc katika pambano ambalo litatoa picha halisi ya mwelekeo wa mbio za ubingwa. Wakati Azam FC ikihitaji ushindi ili kurejea nafasi ya pili na kuendelea kuipa presha… Continue reading UTAMU WA MECHI YA AZAM NA YANGA HUKO HAPA

TIMU ZINAZOWANIA KUMNASA PRINCE DUBE

Uongozi wa Azam FC umethibitisha kupokea ofa kutoka katika timu za Simba SC ya Tanzania na Al Hilal ya Sudan, zikihitaji huduma ya straika wake Prince Dube.

Katika taarifa yake ilitolewa leo, Azam FC imesema inazifanyia kazi ofa hizo huku ikiweka milango wazi kwa timu nyingine zitakazomuhitaji mchezaji huyo raia wa Zimbabwe.

Prince Dube ambaye bado ana mkataba na Azam FC, alishaandika barua ya kuomba kuondoka klabuni hapo, na uongozi wa Azam FC ukaweka wazi utaratibu wa kimkataba ukimtaka kulipa Dola za Kimarekani 300,000/ ili kuvunja mkataba huo.

SABABU YA PRINCE DUBE KUOMBA KUONDOKA AZAM FC

MICHEZO Klabu ya Azam FC imethibitisha kupokea barua kutoka kwa mshambuliaji Prince Dube akiomba kuvunja mkataba wa kuwatumikia Waoka Mikate hao ambao amewatumikia tangu mwaka 2020. Mkataba wa nyota huyo raia wa Zimbabwe aliosaini mwaka 2023 utamuweka klabuni hapo mpaka 2026. Hivyo sasa amebakisha miaka miwili na nusu mkataba wake kufikia ukomo. Azam FC imemjibu… Continue reading SABABU YA PRINCE DUBE KUOMBA KUONDOKA AZAM FC

YANGA KUIKOSA HUDUMA YA LOMALISA

MICHEZO. Beki wa kushoto wa Yanga, Joyce Lomalisa ataukosa mchezo wa tatu hatua ya Makundi ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya vigogo wa Ghana,Medeama ugenini Ijumaa ya Desemba 8,2023 uwanja wa Baba Yara nchini humo. Lomalisa alipata majeraha katika mchezo wa pili wa CAFCL dhidi ya Al Ahly hali iliyopelekea kushindwa kuendelea na mchezo huo… Continue reading YANGA KUIKOSA HUDUMA YA LOMALISA

KITUKO CHA BODI YA LIGI DHIDI YA KHALID AUCHO

MICHEZO Siku moja tangu kamati ya kusimamia na kuendesha bodi ya ligi kuu (TPLB) kutangaza kumfungia kiungo wa Yanga, Khalid Aucho kwa kumfungia michezo mitatu na faini ya 500,000 (laki tano) kwa kosa la utovu wa nidhamu, mabosi wa klabu hiyo wapo kwenye mchakato wa kukata rufaa. Mwenyekiti wa kamati ya mashindano wa klabu ya… Continue reading KITUKO CHA BODI YA LIGI DHIDI YA KHALID AUCHO

FEISAL ATAJA KUKIMBIWA NA MPENZI WAKE

Nyota Wetu Akizungumza na Mwananchi, Mchezaji wa Azam Fc ,Feisal Salim (Feitoto) amesema sakata lake na Yanga Fc lilimuathiri kikazi na kijamii,ikiwa ni pamoja na mpenzi wake alietaka kumuoa,kuolewa na mtu mwingine. Amesema wakati akiwa kwenye wakati mgumu na sakata lile akiwa anawaza kesi yake itakavyoisha,Mpenzi wake alimuacha na kuolewa na mtu mwingine baada ya… Continue reading FEISAL ATAJA KUKIMBIWA NA MPENZI WAKE

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner