YANGA NA SIMBA KUKUTANA APRIL 20

MICHEZO Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/2024 kati Yanga Sc dhidi ya Simba Sc almaarufu ‘Kariakoo Derby’ ambao awali haukupangiwa tarehe kwenye ratiba iliyofanyiwa maboresho na kutangazwa Februari 2024, sasa utachezwa Aprili 20, 2024 kuanzia saa 11:00 jioni katika dimba la Benjamin Mkapa. Taarifa ya bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imebainisha… Continue reading YANGA NA SIMBA KUKUTANA APRIL 20

ALLY KAMWE ATOA LA MOYONI KUFUATIA KIPIGO CHA AZAM FC

MICHEZO Meneja wa Habari na Mawasiliani Yanga SC, Ally Kamwe amesema kuwa kipigo kutoka kwa Azam FC cha mabao 2-1 kimewaongezea hamasa katika mchezo wao war obo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika. Yanga itacheza dhidi ya Mamelodi Machi 29, mwaka huu katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kisha marudiano kuchezwa… Continue reading ALLY KAMWE ATOA LA MOYONI KUFUATIA KIPIGO CHA AZAM FC

FEISAL SALUM “FEI TOTO” APELEKA KILIO YANGA

MICHEZO Kiungo Feisal Salum Fei Toto amepeleka kilio Jangwani kwa kufunga bao la ushindi kwa Azam FC waliotundika Yanga SC 2-1 kwenye muendelezo wa ligi kuu soka ya NBC Tanzania Bara. Hiki ni kipigo cha pili kwa Yanga SC kwenye ligi kuu msimu huu wakisaliwa na alama 52 baada ya michezo 20 huku Azam FC… Continue reading FEISAL SALUM “FEI TOTO” APELEKA KILIO YANGA

PRINCE DUBE AFUNGUKA SABABU YA KUONDOKA AZAM FC

NYOTA WETU Sakata la mshambuliaji Prince Dube limeingia sura mpya baada ya nyota huyo raia wa Zimbabwe kudai ndani ya klabu ya Azam viongozi wa klabu hiyo hufurahia mafanikio ya timu zingine badala ya timu yao! “Nahitaji kuchezea timu ambayo wachezaji na viongozi wana lengo moja. Viongozi wako Azam, lakini mioyo yao iko kwenye timu… Continue reading PRINCE DUBE AFUNGUKA SABABU YA KUONDOKA AZAM FC

SABABU YA DUBE KUOMBA KUONDOKA AZAMimg

MAKALA Klabu ya Azam imethibitisha kupokea barua ya PRİNCE DUBE akiomba kuondoka kwenye klabu hiyo. Taarifa ya klabu inasema Azam FC wamemjibu na kumwambia anaweza kuondoka ila kwa kufikiwa kwa vipengele vya mkataba, yani kama klabu nyingine au yeye mwenyewe anaweza kuilipa Azam FC pesa waliyoweka kwenye mkataba kama mchezaji anataka kuvunja mkataba au timu… Continue reading SABABU YA DUBE KUOMBA KUONDOKA AZAMimg

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner