THOMAS TUCHEL NA BAYERN MUNICH KIMEELEWEKA
MICHEZO FC Bayern Munich na kocha wake mkuu, Thomas Tuchel wamefikia makubaliano ya kuvunja mkataba wao Juni 2024. Awali mkataba huo ulitarajiwa kumalizika Juni 2025. Hata hivyo, Tuchel amesema kuwa…
MICHEZO FC Bayern Munich na kocha wake mkuu, Thomas Tuchel wamefikia makubaliano ya kuvunja mkataba wao Juni 2024. Awali mkataba huo ulitarajiwa kumalizika Juni 2025. Hata hivyo, Tuchel amesema kuwa…
MICHEZO Mshambuliaji wa Ufaransa, Kylian Mbappe ameiambia timu yake ya PSG kuwa anadhamiria kuondoka mwishoni mwa msimu huu. Kylian Mbappe (25) , na Mabingwa hao wa Ufaransa, mkataba wao utamalizika…
MICHEZO Kiungo wa England na timu ya Real Madrid ataukosa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya RB LEIPZIG kutokana na majeraha ya mguu. Kiungo huyo fundi alitolewa nje…
MICHEZO Klabu ya Juventus ya Italia imeripotiwa kufanya mazungumzo na Nyota wa zamani wa Liverpool na timu ya Taifa ya Uingereza, Jordan Henderson juu ya kumsajili kwenye kikosi hicho akitokea…
NYOTA WETU Nyota wa Yanga ,Stephanie Aziz Ki amepenya kwenye mchujo wa mwisho wa kocha Hubert Velud na sasa atakuwa miongoni mwa nyota 27 wa taifa la Magharibi mwa Afrika…