JOHN AFUNGWA MIAKA 25 KISA HIKI

HABARI KUU Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Morogoro, imemhukumu miaka 25 jela John Mwaseba Mwasikili baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya Bangi, zenye ujazo wa kilo 107.29. Akitoa hukumu hiyo, Jaji wa mahakama M. P. Otaru amesema ushahidi uliotolewa na mashahidi 16 na vielelezo 15 vya upande… Continue reading JOHN AFUNGWA MIAKA 25 KISA HIKI

TOP 60 MILITARY MOVIES OF ALL TIME

1.Saving Private Ryan (1998)2. Apocalypse Now (1979)3. Full Metal Jacket (1987)4. Platoon (1986)5. Black Hawk Down (2001)6. Das Boot (1981)7. The Thin Red Line (1998)8. Paths of Glory (1957)9. Hacksaw Ridge (2016)10. 1917 (2019)11. Dunkirk (2017)12. Patton (1970)13. Gallipoli (1981)14. We Were Soldiers (2002)15. Bridge on the River Kwai (1957)16. The Deer Hunter (1978)17. The… Continue reading TOP 60 MILITARY MOVIES OF ALL TIME

ULEVI KWA VIJANA KILIMANJARO WAWATISHA VIONGOZIDiscoverCars.com

HABARI KUU Akizungumza kwenye mkutano mkuu wa mwisho wa mwaka wa wana Dayosisi ya Kaskazini, waishio nje, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa ,Aggrey Mwanri amesema zinahitajika jitihada za makusudi za serikali, jamii na hata kanisa kumaliza tatizo la ulevi mkoani humo, kwani nguvu kazi ambao ni vijana wanapotea. Naye,Askofu wa kanisa hilo la Kiinjili la Kilutheri… Continue reading ULEVI KWA VIJANA KILIMANJARO WAWATISHA VIONGOZIDiscoverCars.com

WASANII WANAOTUMIA BANGI HAWA HAPA TANZANIA

HABARI Kamishina Jenerali wa Mamlaka ya kupambana na kudhibiti Dawa za kulevya, Aretas Lymo amesema wanayo orodha ya wasanii wanaotumia na wale wanaohamasisha matumizi ya dawa za kulevya nchini na hivyo watatumia sheria ambazo zipo baada ya kuthibitisha na kuwapeleka Mahakamani. Lymo amesema hayo wakati akizungumza na wahariri na wanahabari na kueleza kuwa hawatasita kumfungia… Continue reading WASANII WANAOTUMIA BANGI HAWA HAPA TANZANIA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner