POGBA AFUNGIWA MIAKA MINNE KUCHEZA SOKA

MICHEZO Kiungo wa Klabu ya Juventus na timu ya Taifa ya Ufaransa Paul Pogba amepigwa marufuku kucheza soka kwa miaka minne na Mahakama ya kupambana na dawa za kulevya nchini Italia. Hukumu hiyo inaweza kumaliza safari ya soka ya Pogba, kwani mwezi ujao, atatimiza miaka 31.Pogba alirejea Juventus kutoka Manchester United mnamo 2022 lakini alikabiliwa… Continue reading POGBA AFUNGIWA MIAKA MINNE KUCHEZA SOKA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner