ANTONIO CONTE KWENYE RADA ZA FC BAYERN MUNICH

MICHEZO Miamba ya soka nchini Ujerumani FC Bayern Munich imeripotiwa kuwa na mpango wa kumchagua Antonio Conte kuwa kocha wao mpya, imeelezwa. Kocha huyo kutoka nchini Italia amekuwa hana kazi tangu Machi mwaka jana alipofutwa kazi Tottenham. Lakini, anaweza kushawishika na nafasi hiyo ya kwenda kufanya kazi Ujerumani kwa mara ya kwanza kutokana na Bayern… Continue reading ANTONIO CONTE KWENYE RADA ZA FC BAYERN MUNICH

ALPHONSO DAVIES AWAGOMBANISHA REAL MADRID NA BAYERN MUNICH

MICHEZO Mkurugenzi Mtendaji wa Bayern Munich, Jan-Christian Dreesen, amekiri klabu hiyo ipo kwenye mazungumzo ya kina na Alphonso Davies kuhusu mustakabali wake huku kukiwa na nia kutoka Real Madrid. Mkataba wa sasa wa Davies pale Allianz Arena unamalizika 2025, na hivi karibuni The Athletic iliripoti kwamba amekubali kwa mdomo kujiunga na Madrid msimu huu wa… Continue reading ALPHONSO DAVIES AWAGOMBANISHA REAL MADRID NA BAYERN MUNICH

KIINI CHA MGOGORO WA SERIKALI NA HOSPITALI BINAFSI KUHUSU BIMA YA NHIF

MAKALA Kuanzia leo tar.1 March 2024, vituo binafsi vya huduma za afya nchini vimekubaliana kutokupokea wateja wa NHIF. Maana yake ni kwamba wagonjwa wanaotibiwa kwa NHIF wako hatarini kukosa huduma. Kumbuka, takwimu zinaonesha zaidi ya 80% ya wagonjwa mahospitalini ni wanachama wa NHIF. Ni chini ya 20% tu ndio wanaotumia bima za makampuni binafsi au… Continue reading KIINI CHA MGOGORO WA SERIKALI NA HOSPITALI BINAFSI KUHUSU BIMA YA NHIF

BAYERN MUNICH SIGNS MAX EBERL AS SPORTING DIRECTOR

SPORTS Bayern Munich on Monday announced the signing of Max Eberl as managing director of sport until June 2027, the club’s first step in replacing outgoing manager Thomas Tuchel. Eberl “brings not only decades’ long experience in football management, he has also started playing football at FC Bayern and became a professional here. We are… Continue reading BAYERN MUNICH SIGNS MAX EBERL AS SPORTING DIRECTOR

THOMAS TUCHEL NA BAYERN MUNICH KIMEELEWEKA

MICHEZO FC Bayern Munich na kocha wake mkuu, Thomas Tuchel wamefikia makubaliano ya kuvunja mkataba wao Juni 2024. Awali mkataba huo ulitarajiwa kumalizika Juni 2025. Hata hivyo, Tuchel amesema kuwa kwa muda uliobaki yeye na benchi la ufundi watafanya kila wawezalo kuiwezesha timu hiyo kufanya vizuri. Raia huyo wa Ujerumani alichukua mikoba ya Julian Nagelsmann… Continue reading THOMAS TUCHEL NA BAYERN MUNICH KIMEELEWEKA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner