QUALIFICATIONS OF A REAL MAN

9 ADVICES OF A REAL MAN A man who can control his sexual urge is a man who can live many years on earth. Men don’t know that some of their failures are caused by multiple girlfriends Not all girls have good spirit. Some are demons, others have venom between their legs.Some women are destiny… Continue reading QUALIFICATIONS OF A REAL MAN

MVUA YAKATISHA MAWASILIANO KATAVI NA KIGOMA

HABARI KUU Zaidi ya Kaya 13 zimekosa makazi katika kata ya Makanyagio Manispaa ya Mpanda baada ya nyumba zao kuanguka kufuatia mafuriko yaliyosababishwa na mvua iliyonyesha Usiku wa kuamkia April 14. Barabara Kuu inayounganisha Mikoa ya Kigoma na Katavi na wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi ikishindwa kupitika kutokana na Daraja la Mto Kachoma kufunikwa na… Continue reading MVUA YAKATISHA MAWASILIANO KATAVI NA KIGOMA

EBUKA OBI-UCHENDU ANNOUNCES NEW TWIST AS AUDITIONS FOR BIG BROTHER NAIJA SEASON 9

OUR STAR 🌟 Popular reality TV host, Ebuka Obi-Uchendu has announced an exciting new twist for the Big Brother Naija Season 9 audition process. Multichoice, the organizers of the popular reality TV show Big Brother Naija (BBNaija), had earlier unveiled plans for its highly anticipated 9th season. Ebuka Obi-Uchendu hosting Big Brother Naija “All Stars”… Continue reading EBUKA OBI-UCHENDU ANNOUNCES NEW TWIST AS AUDITIONS FOR BIG BROTHER NAIJA SEASON 9

AFRIKA KUSINI YAANZA VITA DHIDI YA UJANGILI WA FARU

HABARI KUU Mapambano ya kukabiliana na ujangili wa Faru nchini Afrika Kusini yamechukua sura mpya baada ya idadi ya faru waliouawa kuongezeka mwaka 2023. Mwaka jana faru 499 waliwindwa, ikiwa ni ongezeko la faru 51 kutoka mwaka uliopita, amesema Waziri wa Mazingira wa Afrika Kusini Barbara Creecy. Afrina Kusini ina faru wengi zaidi duniani. Nchi… Continue reading AFRIKA KUSINI YAANZA VITA DHIDI YA UJANGILI WA FARU

MUHIMBILI-MLOGANZILA YAINGIZA BILIONI 8 KISA UREMBO

HABARI KUU Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imezalisha shilingi Bilioni 8 kwa kufanya tiba urembo ambapo pia wameboresha maeneo mengi ya huduma ikiwemo ununuzi wa vifaa bora na vya kisasa na kuboresha chumba cha kuhifadhia maiti. Amesema hayo wakati wa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya… Continue reading MUHIMBILI-MLOGANZILA YAINGIZA BILIONI 8 KISA UREMBO

USIPOMPELEKA MTOTO SHULE UNAFUNGWA

HABARI KUU. Bunge la Afrika Kusini limepitisha muswada mkubwa wa elimu ambao utaweza kuwahukumu wazazi kifungo cha jela iwapo watoto hawatokuwa shule. Chini ya muswada huo wazazi wataweza kufungwa hadi miezi 12 ikiwa watoto wao watakuwa ni watoro au hawajaandikishwa shule wakati wamefika umri wa kwenda shule. Sheria hiyo itapiga marufuku adhabu ya viboko shuleni.… Continue reading USIPOMPELEKA MTOTO SHULE UNAFUNGWA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner