WHY YOU NEVER ARGUE IN YOUR MARRIAGE / RELATIONSHIP

LOVE ❤ THE MORE YOU ARGUE… 1. The less you two kiss 2. The less you two make love 3. The less you two confide in each other and talk 4. The less you two pray 5. The less you two build a bright future together 6. The more your partner/spouse will avoid you 7.… Continue reading WHY YOU NEVER ARGUE IN YOUR MARRIAGE / RELATIONSHIP

LISANDRO MARTINEZ NA VICTOR LINDELOF WAPATA MAJERAHA

MICHEZO Mabeki wa Manchester United, Lisandro Martinez na Victor Lindelof wote watakuwa nje kwa angalau mwezi mmoja kutokana na majeraha ya misuli waliyoyapata siku za hivi karibuni. Klabu hiyo ilithibitisha pigo hilo la majeruhi hao wawili katika taarifa yake usiku wa kuamkia leo. Lindelof alipata jeraha la misuli ya paja wakati wa sare ya 1-1… Continue reading LISANDRO MARTINEZ NA VICTOR LINDELOF WAPATA MAJERAHA

MOSES BLISS INTRODUCES MARIA TO AKWA IBOM CHURCH FAMILY

OUR STAR 🌟 “She’s now part of Akwa Ibom, my beloved wife” – Moses Bliss introduces Maria Bliss to Akwa Ibom church family::::: Nigerian gospel singer, worship leader, and songwriter Moses Uyoh Enang, popularly known as Moses Bliss, made headlines as he introduced his wife, Maria Bliss, to his church congregation. The moment was captured… Continue reading MOSES BLISS INTRODUCES MARIA TO AKWA IBOM CHURCH FAMILY

7 BEST ADVICES FROM A FATHER TO A DAUGHTER

LOVE ❤ BEST ADVICES FROM A FATHER TO A DAUGHTER.

BABA AMNYONGA MWANAE APATE MICHANGO YA KIKUNDI

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

“WHY I DIVORCED KANYE WEST ” Kim Kardashian

OUR STAR 🌟 American reality star Kim Kardashian has revealed why she divorced controversial billionaire rapper Kanye West. She noted that West was “the best rapper of all time and richest black man in America” but lacks character. She added that she divorced the ‘Ye’ crooner because of his personality. Speaking in a recent episode… Continue reading “WHY I DIVORCED KANYE WEST ” Kim Kardashian

RAIS LUIS RUBIALES KUFUNGWA JELA KWA KOSA LA KUBUSU

MICHEZO Waendesha mashtaka nchini Uhispania wametaka aliyekuwa Rais wa Shirikisho la soka la nchi hiyo Luis Rubiales afungwe jela kwa miaka miwili na nusu kwa kosa la kumbusu mchezaji wa kike bila ridhaa yake. Tukio hilo lilitokea mwezi Agosti mwaka jana wakati Uhispania ilipokuwa ikisheherekea ushindi katika fainali za Kombe la dunia la Wanawake. Kwa… Continue reading RAIS LUIS RUBIALES KUFUNGWA JELA KWA KOSA LA KUBUSU

DIDIER DESCHAMPS AMKATAA WILLIAM SALIBA

MICHEZO Baada ya mlinzi wa Arsenal Wiliam Saliba kukosekana katika kikosi cha timu ya taifa Ufaransa na watu kuhoji, kocha wa kikosi hicho Didier Deschamps ameibuka na kusema mlinzi huyo ni mchezaji wa kawaida tu. Kauli hiyo ya Deschamps imezua gumzo kwenye Mitandao ya kijamii baada ya mlinzi huyo kukosekana katika pambano la Ufaransa dhidi… Continue reading DIDIER DESCHAMPS AMKATAA WILLIAM SALIBA

NIGERIA COMEDIAN AMAECHI MUONAGOR HAS PASSED AWAY IN AGE OF 62

OUR STAR 🌟 Amaechi MuonagorBorn August 20, 1962 Died march 24, 2024 (aged 61) Amaechi was born in Obosi, a village in Idemili North, Anambra State. He attended St. Mary’s Primary School, Obosi, Oraifite Grammar School before he furthered his education at the University of Nigeria, Nsukka (UNN) where he studied economics and graduated in… Continue reading NIGERIA COMEDIAN AMAECHI MUONAGOR HAS PASSED AWAY IN AGE OF 62

UFARANSA YAICHAPA GIBRALTAR 14

MICHEZO Timu ya Taifa ya Ufaransa imeweka rekodi ya ushindi mkubwa zaidi katika historia baada ya kuishushia timu ya taifa ya Gibraltar mvua ya magoli 14 -0 katika michuano ya kufuzu Euro 2024. MAGOLI YA UFARANSA 🇫🇷 Hiki ni kichapo kikubwa kwa historia ya Gibraltar wakiwapita San Marino waliopokea kipigo cha mbwa koko kutoka kwa… Continue reading UFARANSA YAICHAPA GIBRALTAR 14

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner