BENZEMA ATISHIWA TENA

MICHEZO Kufuatia shutuma za Waziri wa mambo ya ndani wa Ufaransa, Gerald Darmanin, kuwa Karim Benzema “ana uhusiano ” na kundi la kigaidi la Muslims Brotherhood, seneta wa Ufaransa Valerie Boyer ,ameibuka na kutoa kauli tata dhidi ya Mshambuliaji huyo wa zamani wa Real Madrid. Kupitia taarifa kwenye vyombo vya habari, Seneta huyo ametaka hatua… Continue reading BENZEMA ATISHIWA TENA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner