Mauricio Pochettino hana presha ndani ya Chelsea

MICHEZO Licha ya kufungwa mabao 5-0 na Arsenal juzi Jumanne (Aprili 23), Uongozi wa Klabu ya Chelsea bado haijaamua mustakabali wa Kocha Mkuu wa kikosi chao Mauricio Pochettino. Gazeti la Telegraph la nchini England limeandika kuwa Kocha huyo kutoka nchini Argentina, bado anaungwa mkono na Uongozi wa klabu hiyo, na huenda akawa ushirikiano mkubwa kuelekea… Continue reading Mauricio Pochettino hana presha ndani ya Chelsea

Uwanja wa Uhuru kukarabatiwa kwa bilioni 19

MICHEZO Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imesaini Mkataba wa ukarabati wa uwanja wa uhuru uliopo jijini Dar es salaam na kampuni ya CRSEG ya China. Katika hafla ya utiaji saini wa mkataba huo Serikali imeweka wazi gharama itakayotumika kukarabati huo ni bilioni 19.7 za Kitanzania na… Continue reading Uwanja wa Uhuru kukarabatiwa kwa bilioni 19

Davido expressed immense joy as he received his newly purchased private jet

CELEBRITIES Davido expressed immense joy as he received his newly purchased private jet, a Bombardier 7500 model, worth over 102 billion naira. Nigerian music superstar David Adeleke, also known as Davido, is expressing joy after getting his new Bombardier 7500 private jet, worth a whopping N102 billion ($78 million). Earlier in April 2024, Davido had… Continue reading Davido expressed immense joy as he received his newly purchased private jet

Many commuters and car drivers are concerned as traffic congestion returns in Abuja and five other states causing lengthy line of vehicles

HEADLINES A shortage of fuel has spread across various Nigerian states, sparking concerns among commuters and drivers. Numerous gas stations have closed, resulting in long queues at the limited outlets still distributing petrol. This has led to an increase in transportation costs in the affected areas, as the few transporters with fuel have inflated their… Continue reading Many commuters and car drivers are concerned as traffic congestion returns in Abuja and five other states causing lengthy line of vehicles

“How I hired a tech professional to delete my leaked adult video from the Web and smartphones” TIWA SAVAGE

CELEBRITIES Nigerian singer and actress Tiwa Savage recently shared her struggles in dealing with the aftermath of her leaked adult tape in an interview with Angie Martins at Power 105.1 in New York. Tiwa Savage described the distress she faced in October 2021 when she was threatened by blackmailers due to the private video. The… Continue reading “How I hired a tech professional to delete my leaked adult video from the Web and smartphones” TIWA SAVAGE

AHMED ALLY AIBUKIA KWA FRED MICHAEL KOUBLAN

MICHEZO Meneja wa Habari na Mawasilino wa Simba SC Ahmed Ally ameibuka na kuandika ujumbe kumuhusu Mshambuliaji kutoka nchini Ivory Coast Fred Michael ‘Funga Funga’. Mshambuliaji huyo alifunga moja ya mabao mawili yaliyoipa ushindi Simba SC katika mchezo wa kwanza wa Kombe la Muungano 2024 dhidi ya KVZ uliopigwa jana Jumatano (Aprili 24), Uwanja wa… Continue reading AHMED ALLY AIBUKIA KWA FRED MICHAEL KOUBLAN

MANCHESTER CITY NA BERNARDO SILVA NDOA YAO KUTAMATIKA MSIMU HUU

MICHEZO Mshambualiji kutoka nchini Ureno na Klabu Bingwa nchini England Manchester City Bernardo Silva ana nafasi kubwa ya kuikacha klabu hiyo, itakapofika mwishoni mwa msimu huu 2023/24. Silva mwenye umri wa miaka 29, kwa muda mrefu amekuwa kitaka changamoto ya kufikiria wapi atakapocheza msimu ujao, licha ya kuwa na mkataba na Man City hadi mwaka… Continue reading MANCHESTER CITY NA BERNARDO SILVA NDOA YAO KUTAMATIKA MSIMU HUU

WHY IS IMPORTANT TO HAVE SEX

LOVE TIPS ❤ SEX IS ABOUT 9 THINGS.

HUYU NDIYE MRITHI WA HENOCK INONGA AJAYE NDANI YA SIMBA SC

MICHEZO Mlinzi wa Klabu ya ASEC Mimosas, Anthony Tra Bi Tra anatajwa huko Msimbazi kwenda kuziba pengo la Henock Inonga ambaye Taarifa zinaeleza kuwa mwishoni mwa msimu anaelekea AS FAR Rabat ya Morocco. Nyota huyo raia wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka 25 ameiongoza ASEC kutinga hatua ya robo Fainali ya CAF Champions League… Continue reading HUYU NDIYE MRITHI WA HENOCK INONGA AJAYE NDANI YA SIMBA SC

HALMASHAURI KUPIMWA KWA UBUNIFU VYANZO VIPYA VYA MAPATO

HABARI KUU Kigezo cha ziada ya kuzipima Halmashauri zote nchini kuanzia mwaka wa fedha ujao ni kila Halmashauri kubuni vyanzo vipya vya mapato kuanzia viwili na kuendelea kwa kila mwaka wa fedha, huku viongozi wa Halmashauri zote nchini kuzingatia matumizi ya mifumo katika shughuli zote za utumishi, manunuzi na ukusanyaji wa mapato. Hayo yamebainishwa na… Continue reading HALMASHAURI KUPIMWA KWA UBUNIFU VYANZO VIPYA VYA MAPATO

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner