THE FIVE LOVE LANGUAGES

LOVE TIPS ❤ THE FIVE LOVE LANGUAGESMany people have wrongly thought they have only one love language. Let us decode this. The 5 Love Languages concept was conceptualized by Dr. Gary Chapman in 1992. The five love languages are:1. Words of affirmation2. Quality time3. Physical touch4. Acts of service5. Receiving gifts Since then, many individuals… Continue reading THE FIVE LOVE LANGUAGES

HOW TO MAKE YOUR WIFE RESPECT YOU IN THE MARRIAGE

LOVE TIPS ❤ 10 WAYS ON HOW TO MAKE YOUR WIFE RESPECT AND SUBMIT TO YOU FOR LIFE. Making a woman do your wish, honour you, adore you, celebrate you, respect you and submit to you for life is not difficult at all. No woman on earth is difficult, except you married the devil’s own… Continue reading HOW TO MAKE YOUR WIFE RESPECT YOU IN THE MARRIAGE

GODLISTEN MALISA NA MEYA JACOB MIKONONI MWA POLISI KISA HIKI

HABARI KUU Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa ya uongo na uzushi inayosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na kifo cha Robart Mushi ambaye picha yake imeambatanishwa kwenye taarifa hizo kuwa alipotea tarehe 11 Aprili, 2024 na baadae kugundulika katika Chumba cha kuhifadhi maiti katika Hospitali ya Polisi… Continue reading GODLISTEN MALISA NA MEYA JACOB MIKONONI MWA POLISI KISA HIKI

UMEME WAMWIBUA MWITA WAITARA

HABARI KUU Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara ameitaka Serikali kupeleka umeme kwa Wachimbaji wadogo Msege akidai shughuli hiyo ilisimama mara baada ya Waziri kuahirisha ziara ya kutembelea eneo hilo. Waitara ameyasema hayo hii leo Aprili 23, 2024 Bungeni Jijini Dodoma wakati akiuliza swali kwa Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga, kutaka kujua… Continue reading UMEME WAMWIBUA MWITA WAITARA

Nicki Minaj throws back object at fans during tour

CELEBRITIES During her Detroit tour stop, Nicki Minaj faced a scary moment when someone threw something at her on stage. Nicki dodged it, grabbed the object, and threw it back at the crowd. Videos show the object narrowly missing her. She seemed upset but managed to continue the show. Luckily, no one got hurt. The… Continue reading Nicki Minaj throws back object at fans during tour

GARDNER G HABASH ALIVYOIPAISHA BONGO FLEVA

NYOTA WETU GARDNER G HABASH, THE INFOTAINER MTANGAZAJI wa redio mwenye sauti iliyomvutia kila mtu. Msanii wa sauti (the voice-over artist), aliyenakshi jingles. Mwendesha shughuli (MC), mwenye sanaa kubwa. Gardner Gabriel Habash. Tangu Mzee wa Kujinafasi hadi Babu Vipensi. Kutokea Gardner G mpaka Babu G. Mtangazaji wa dansi katika Afrika Bambataa, kisha akawa haiba ya… Continue reading GARDNER G HABASH ALIVYOIPAISHA BONGO FLEVA

” kauli za Rais Samia anatoa hela zinakera” Mbowe

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

Etinosa Idemudia defends Phyna against critics after she mistakenly called out soft drink brand

CELEBRITIES Nollywood actress, Etinosa Idemudia takes sides with reality TV star, Phyna as netizens come for her heavily after she mistakenly called out a soft drink brand. Recall that amid a dispute with some of the organizers of the popular BBNaija show for refusing to give her all her full prizes, Phyna accused soft drink… Continue reading Etinosa Idemudia defends Phyna against critics after she mistakenly called out soft drink brand

Matumizi ya jeshi yanavyo ongezeka Duniani

HABARI KUU Matumizi ya kijeshi Duniani yameongezeka kwa asilimia 7 kutokana na kuzorota kwa amani na usalama, huku nchi kumi zilizokuwa na matumizi makubwa ya kijeshi kwa mwaka 2023 zikiongozwa na Marekani, China na Urusi. Hayo yamebainishwa na Taasisi ya kimataifa ya utafiti wa masuala ya amani na usalama – SIPRI ya jijini Stockholm Nchini… Continue reading Matumizi ya jeshi yanavyo ongezeka Duniani

Mikayil Faye nyota anayewaumiza MANCHESTER na LIVERPOOL

NYOTA WETU Klabu za Manchester United na Liverpool zinatarajia kuingia katika vita ya kuiwania saini ya Beki kutoka nchini Senegal na Klabu ya Barcelona Mikayil Ngor “Mika” Faye. Kinda huyo mwenye umri wa miaka 19 anadaiwa kusakwa sana na klabu hizo za England, kufuatia kuonesha kiwango cha hali ya juu akiwa na kikosi cha Barcelona… Continue reading Mikayil Faye nyota anayewaumiza MANCHESTER na LIVERPOOL

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner