SPIKA WA BUNGE ATOA YA MOYONI KUHUSU YANGA KUDHURUMIWA GOLI

HABARI KUU “Mimi niliona ni goli” Akizungumza na Idhaa ya Taifa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt . Tulia Akson Mwansasu ametoa maoni yake kuhusu goli lililofungwa na Yanga. “Niseme kama Mtanzania ningetaraji timu zetu zingesonga zaidi ila wamejitahidi kwa kweli kufika robo fainali timu mbili kutoka nchi moja sio jambo… Continue reading SPIKA WA BUNGE ATOA YA MOYONI KUHUSU YANGA KUDHURUMIWA GOLI

MISTAKES OF MANY MEN IN MARRIAGE

LOVE ❤ 8 MISTAKES OF MANY MEN IN MARRIAGE Lots of Men are making mistakes in their Marriages, this is making life difficult for their wives and Children. We need to examine this and tutor all Men to behave better. Here, I will be exposing 8 Mistakes of Many Men in Marriage: 1) SLAVE-WIFE MENTALITY:… Continue reading MISTAKES OF MANY MEN IN MARRIAGE

“I will never do any DNA test,you don’t have any right to tell me to do it” Mohbad’s wife

OUR STAR 🌟 Late singer Mohbad’s wife, Wunmi blows hot as she vows not to do DNA test on her son, Liam while claiming to be disflovered by the singer. She stated this in an audio interview that is currently trending online. Wunmi emphasized that Liam is her son and she’s the one that bore… Continue reading “I will never do any DNA test,you don’t have any right to tell me to do it” Mohbad’s wife

MANCHESTER CITY NA ARSENAL HAKUNA MBABE

MICHEZO Mbio za kuwania taji la EPL zimezidi kupamba moto baada ya Manchester City kubanwa mbavu na Arsenal na kulazimishwa suluhu tasa ya 0-0. Matokeo hayo yametoa mwanya kwa Liverpool kuchupa hadi kileleni kwenye msimamo wa ligi hiyo baada ya kupata ushindi wa 2-1 dhidi ya Brighton na kufikisha alama 67 baada ya michezo 29.… Continue reading MANCHESTER CITY NA ARSENAL HAKUNA MBABE

MAASKOFU BAGONZA NA KILAINI WAICHAMBUA PASAKA

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

7 MARRIAGE POSTURES FOR GREAT COUPLES

LOVE ❤ There are postures couples must constantly maintain in their marriage to position their marriage for unending bliss. I will like to share 7 of those postures with you as follows;- 1: COUPLES MUST WALK TOGETHER: Marriage is a journey. It is a long journey. The day you married each other, you have started… Continue reading 7 MARRIAGE POSTURES FOR GREAT COUPLES

5 MAIN REASONS OF A CHEATING WOMAN IS MORE DANGEROUS THAN POISON

LOVE ❤ 1. A man can cheat on his woman and still love her but a woman cannot cheat on her man and still love him. I say this because while men do not have sex with emotions, women can’t have sex without attaching emotions to it. This is the reason men simply need a… Continue reading 5 MAIN REASONS OF A CHEATING WOMAN IS MORE DANGEROUS THAN POISON

UFAFANUZI WA ULINZI WA KIONGOZI WA KOREA KASKAZINI KIM JONG UN “KIDUKU”

MAKALA Kama inavyofahamika dhahiri kuwa ni vigumu kwa mwanga wa mshumaa kudumu katikati ya upepo wa kimbunga unaoangusha maghorofa; vivyo hivyo ni vigumu hata kwa ‘inzi’ mwenye nia ovu kumsogelea Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un. Huyu ni kiongozi ambaye vyombo vya habari vya Magharibi vimekuwa vikimuelezea kwa namna ambayo imetofautiana sana na mtazamo wa… Continue reading UFAFANUZI WA ULINZI WA KIONGOZI WA KOREA KASKAZINI KIM JONG UN “KIDUKU”

MSANII ASUSA MAHOJIANO KISA UZUSHI

NYOTA WETU. Rapa BlueFace alikaa kwenye mahojiano kwa muda usiozidi sekunde 30 na mchekeshaji maarufu, Funny Marco,mnamo siku ya Desemba 5,2023. BlueFace alisusia mahojiano hayo baada ya kugundua mwendeshaji wa kipindi hicho hana taarifa kuhusu yeye . Funny Marco alimuuliza BlueFace ni kwanini akirap anakuwa nje ya beats? Rapa huyo mwenye umri wa miaka 26,… Continue reading MSANII ASUSA MAHOJIANO KISA UZUSHI

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner