MWIMBAJI AFARIKI AKIWA ANATUMBUIZA

HABARI KUU Muimbaji wa Injili nchini Brazil, Pedro Henrique(30) amefariki Dunia akiwa anatumbuiza jukwaani, Feira De Santan kibao chake “Vai ser Tai Lindo. Baada ya matatizo alikimbizwa hospitali iliopo karibu na baadaye hospitali hiyo ilithibitisha kifo chake na kwa mujibu wa Tadoh Music ambayo ni lebo ambayo alikuwa akifanya nayo kazi,ilithibitishwa kuwa Pedro alikuwa anasumbuliwa… Continue reading MWIMBAJI AFARIKI AKIWA ANATUMBUIZA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner