MAGAZETI YA LEO AGOSTI 8,2023

Dar es salaam Hujambo? Mtanzania popote pale ikiwa ni mapumziko ya hivi leo kwenye sherehe za nanenane ambazo kitaifa zinafanyika Mkoani Songwe na Mgeni rasmi akiwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Taarifa kubwa kwenye magazeti ya leo ni kuhusu siku ya wakulima hivi leo ikiwa ni siku ya wakulima… Continue reading MAGAZETI YA LEO AGOSTI 8,2023

KURASA ZA MAGAZETI YA LEO 7 AGOSTI 2023

Dar es salaam Mpemzi msomaji wa Magazeti ni asubuhi nyingine tena ambapo leo magazeti yana habari kuhusu Simba Day na Janga la Moto Ubungo. Magazeti ya hivi leo karibu yote yameandika kuhusu Simba Day ambapo Mgeni rasmi alikuwa ni Rais wa Tanzania Samia Suluhu ambaye kati ya mengi aliyosema ni kuhusu kuipongeza Simba na Ubunifu… Continue reading KURASA ZA MAGAZETI YA LEO 7 AGOSTI 2023

DIAMOND SASA APIGWA CHINI YOUTUBE

Dar es salaam Miongoni mwa rekodi ambayo nyota wa Bongo Fleva Diamond Platinum amekuwa nayo kwa muda ni kuwa na ufuasi wa watu wengi kwenye mtandao wa kijamii wa YouTube. Kwasasa taarifa ikufikie ya kwamba mkali wa Nigeria Burna boy anaenda kuivunja rekodi hiyo kitu kitakachofanya sasa Wanigeria wawe wanamiliki kila aina ya mafanikio hasa… Continue reading DIAMOND SASA APIGWA CHINI YOUTUBE

HIZI NDIZO FAIDA ZA KUMNYONYESHA MTOTO

Makala Fupi Mtoto anaponyonya hupunguza hatari ya kupata changamoto kama Pumu,Uzito mkubwa,Aina ya kwanza ya kisukari,Maambukizi ya sikio,kifo cha ghafla kwa watoto wachanga na Maambukizi ya tumbo. Zaidi pia,Faida ya mama kunyonyesha anapunguza uwezekano wa hatari ya kupata magonjwa ya shinikizo la damu,Aina ya pili ya kisukari,saratani ya ovari na Saratani ya matiti. Hivi ni… Continue reading HIZI NDIZO FAIDA ZA KUMNYONYESHA MTOTO

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner