ARSENAL YAREJEA KILELENI IKIICHAPA BRIGHTON 3

MICHEZO Washika Mitutu, Arsenal wamerejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu England kufuatia ushindi wa 3-0 dhidi ya Brighton katika dimba la Amex. FT: Brighton 0-3 Arsenal⚽ Saka 33’⚽ Havertz 62’⚽ Trossard 86’ Arsenal imefikisha alama 71 baada ya mechi 31 na kuiporomosha Liverpool hadi nafasi ya pili huku Mabingwa watetezi, Manchester City wakirejeshwa nafasi… Continue reading ARSENAL YAREJEA KILELENI IKIICHAPA BRIGHTON 3

THINGS YOU SHOULD PAY ATTENTION TO BEFORE YOU COMMIT TO SOMEONE FOR MARRIAGE

LOVE ❤ 10 THINGS YOU SHOULD PAY ATTENTION TO BEFORE YOU COMMIT TO SOMEONE FOR MARRIAGE Marriage will require a lot of learning, unlearning and relearning. If the person is not teachable, marriage will be a challenge. If someone cannot handle disappointments, or they always want things to go their way, that will be a… Continue reading THINGS YOU SHOULD PAY ATTENTION TO BEFORE YOU COMMIT TO SOMEONE FOR MARRIAGE

YANGA YAWASILISHA MALALAMIKO HAYA CAF

MICHEZO Klabu ya Yanga imewasilisha malalamiko kwenda CAF kuhusu uwezekano wa makosa ya kiutawala na upangaji matokeo wakati wa mechi ya robo fainali dhidi ya Mamelodi Sundowns iliyochezwa tarehe 05 Aprili 2024 kwenye Uwanja wa Loftus Versfeld mjini Pretoria, Afrika Kusini. Barua ya Mkurugenzi wa Sheria wa klabu hiyo, Adv. Simon Patrick kwenda CAF imebainisha… Continue reading YANGA YAWASILISHA MALALAMIKO HAYA CAF

ZIMBABWE YAZINDUA PESA MPYA

HABARI KUU Benki kuu ya Zimbabwe, imeidhinisha sarafu mpya iliyoorodheshwa kwa bei ya dhahabu, ili kupambana na mfumuko wa bei nchini humo kufuatia mdororo wa uchumi kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Mkuu wa benki kuu ya taifa ya Zimbabwe, John Mushayavanhu amesema kuanzia leo April 6, 2024, Benki zitabadilisha pesa inayotumika sasa katika dola… Continue reading ZIMBABWE YAZINDUA PESA MPYA

MAYELE: NINAWEZA KUJIUNGA NA SIMBA

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

“DOING MUSIC WAS NOT MY DREAM I WANTED TO PLAY FOR BARCELONA ” ZLATAN

Nigerian artist Zlatan Ibile has disclosed that he fell into music by accident and that his dream has always been to play for FC Barcelona. Zlatan Ibile revealed that his dream job was to be a football player after he struggled in secondary school. However, he claimed that the football system was corrupt, which prevented… Continue reading “DOING MUSIC WAS NOT MY DREAM I WANTED TO PLAY FOR BARCELONA ” ZLATAN

WAYS ON HOW TO HAVE PEACE IN YOUR MARRIAGE

LOVE ❤ 15 WAYS ON HOW TO HAVE PEACE IN YOUR MARRIAGE 1. BE BEST FRIENDSMarry your best friend. And when you are married, deliberately stay best friends. There is peace in close friendship. 2. HAVE A LOT OF SEXMaking love releases the tension and brings about intimacy. With intimacy comes peace. 3. BE RIGHT… Continue reading WAYS ON HOW TO HAVE PEACE IN YOUR MARRIAGE

HISTORIA YA DIDDY NA MATUKIO YA HATARI IKIWEMO MAUAJI YA RAPA TUPAC

NYOTA WETU Novemba 4, 1969 alizaliwa mtayarishaji wa rekodi, rapa(mwimbaji), mwigizaji, mtengenezaji wa nguo za kiume, mjasiriamali raia wa Marekani maarufu P. Diddy. Jina lake halisi ni Sean John Combs . P. Diddy alishinda tuzo ya Grammy tatu na mbili za MTV, pia tuzo katika usanifu wa fashion Awali alikuwa anajulikana kama Puff Daddy na… Continue reading HISTORIA YA DIDDY NA MATUKIO YA HATARI IKIWEMO MAUAJI YA RAPA TUPAC

WHY YOU NEVER ARGUE IN YOUR MARRIAGE / RELATIONSHIP

LOVE ❤ THE MORE YOU ARGUE… 1. The less you two kiss 2. The less you two make love 3. The less you two confide in each other and talk 4. The less you two pray 5. The less you two build a bright future together 6. The more your partner/spouse will avoid you 7.… Continue reading WHY YOU NEVER ARGUE IN YOUR MARRIAGE / RELATIONSHIP

THINGS OTHER THAN SEX TO MAKE YOUR HUSBAND HAPPY

LOVE ❤ 8 Things Other Than Sex To Make Your Husband Happy. 1. True Love:What does true love really mean? On its face, it’s totally subjective. But at its core, true love is the willingness to give of yourself for the benefit of someone else. Like a mother does for her son, she gives everything… Continue reading THINGS OTHER THAN SEX TO MAKE YOUR HUSBAND HAPPY

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner