LIVERPOOL MABINGWA WA CARABAO

MICHEZO Liverpool wamefanikiwa kutwaa taji la Carabao baada ya kuizaba Chelsea 1-0 kwa bao la dakika za lala salama kwenye muda wa dakika 30 za ziada. Nahodha Virgil Van Dijk ndiye aliyepeleka kilio kwa The Blues katika dakika 118 ya mchezo huo. Taji hilo ni sawa na zawadi kwa kocha mkuu wa Liverpool Jurgen Klopp… Continue reading LIVERPOOL MABINGWA WA CARABAO

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner