BUNGE LA TANZANIA LAKANUSHA MADAI YA MBOWE KUHUSU MISHAHARA MIPYA YA WABUNGE

HABARI KUU Bunge la Tanzania limekanusha madai yaliyotolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe ambapo alidai kwamba mishahara ya Wabunge imeongezwa mwaka 2023 kutoka shilingi milioni kumi na tatu (sh.13,000,000/=) hadi shilingi milioni kumi na nane (sh.18,000,000/=) Madai hayo aliyetoa jana ijumaa tarehe 22 Machi, 2024 alipokuwa anahutubia mkutano wa… Continue reading BUNGE LA TANZANIA LAKANUSHA MADAI YA MBOWE KUHUSU MISHAHARA MIPYA YA WABUNGE

MFAHAMU DOROTHY SEMU MWENYEKITI WA ACT WAZALENDO

HABARI KUU Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo bara, Doroth Semu amechaguliwa kuwa Kiongozi wa Chama hicho akichukua nafasi ya muasisi wa chama hicho, Zitto Kabwe aliyemaliza muda wake. Semu ameshinda kwa Kura 534 sawa na 65.7% zilizopigwa na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama ambapo alikuwa akiwania nafasi hiyo na Mbarala Maharagande… Continue reading MFAHAMU DOROTHY SEMU MWENYEKITI WA ACT WAZALENDO

NAPE KUSHUGHULIKA NA WALIOZUSHA KIFO CHA MPANGO

HABARI KUU. Waziri wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ,Nape Moses Nauye amesema hatua zitachukuliwa kwa mujibu wa sheria kwa wale waliohusika na kutangaza uvumi wa kifo cha Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango kwenye mitandao ya kijamii. Waziri Nape ameyasema leo Desemba 10,2023 katika ukurasa wake wa X muda mchache baada ya Makamu wa Rais… Continue reading NAPE KUSHUGHULIKA NA WALIOZUSHA KIFO CHA MPANGO

SABABU YA WAZIRI PAULINE GEKUL KUFUTWA KAZI

HABARI KUU Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba na sheria, Pauline Philipo Gekul kuanzia leo Novemba 25,2023. Hata hivyo, kurugenzi ya mawasiliano haikuweka wazi sababu za utenguzi wake. Lakini imebidi tufatilie kwa kina na kupata taarifa kuwa Mhe. Pauline Philipo Gekul anatuhumiwa kumuwekea chupa kwenye… Continue reading SABABU YA WAZIRI PAULINE GEKUL KUFUTWA KAZI

LEMA AMTUPIA KIJEMBE RAIS SAMIA

HABARI KUU Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Instagram, amemsihi Rais Samia Suluhu Hassan kujihadhari na wapambe na machawa. “Mheshimiwa nakusalimu. Wewe ni Rais wa nchi,ikiwa utaongezewa na Urais wa taifa kama Marekani halafu utajiri wako ukawa kama wa Elon Musk na Jeff Benzos… Continue reading LEMA AMTUPIA KIJEMBE RAIS SAMIA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner