DONALD TRUMP NA NDOTO YA KUWA MANDELA

NYOTA WETU Ni maneno ya Donald Trump, aliyekuwa rais wa 45 wa Marekani. Ametoa ya moyoni akidai anataka kuwa Nelson Mandela wa taifa kubwa duniani la Marekani. “Iwapo udukuzi wa chama utaniweka kwenye ‘click’ kwa kusema ukweli, basi nitakuwa Nelson Mandela wa kisasa, itakuwa ni heshima kubwa kwangu.” Trump mwenye miaka 77 kasema hayo Jumamosi,… Continue reading DONALD TRUMP NA NDOTO YA KUWA MANDELA

TATIZO LA CHELSEA HALIJULIKANI

MICHEZO Chelsea wameshindwa kutamba mbele ya Sheffield United baada ya kulazimishwa sare ya 2-2 katika dimba la Bramall Lane (Sheffield). FT: Sheffield United 2-2 Chelsea⚽ Bogle 32’⚽ McBurnie 90+3’ ⚽ Silva 11’⚽ Madueke 66’ ‘The Blues’ walipoteza fursa ya kuchukua alama zote tatu baada ya Sheffield United kupata bao la kusawazisha jioni kabisa kipindi cha… Continue reading TATIZO LA CHELSEA HALIJULIKANI

SIMULIZI YA KUSIKITISHA MIAKA 12 BILA STEVEN KANUMBA

NYOTA WETU MAPENZI YALIMUUA KANUMBA—————————————————–Leo April 7 ni kumbukizi ya miaka 12 ya kifo cha nguli wa tasnia ya filamu Tanzania almaarufu Bongo Movie, marehemu Steven Charles Kanumba a.k.a Kanumba The Great. Mnamo mwaka 2012 Steven Kanumba alifariki dunia baada ya kusukumwa na kujibamiza ukutani akigombana na mpenzi wake Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye kwa sasa… Continue reading SIMULIZI YA KUSIKITISHA MIAKA 12 BILA STEVEN KANUMBA

YANGA NA SIMBA KUKUTANA APRIL 20

MICHEZO Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/2024 kati Yanga Sc dhidi ya Simba Sc almaarufu ‘Kariakoo Derby’ ambao awali haukupangiwa tarehe kwenye ratiba iliyofanyiwa maboresho na kutangazwa Februari 2024, sasa utachezwa Aprili 20, 2024 kuanzia saa 11:00 jioni katika dimba la Benjamin Mkapa. Taarifa ya bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imebainisha… Continue reading YANGA NA SIMBA KUKUTANA APRIL 20

MWANAMZIKI WA FM ACADEMIA AFIA JUKWAANI

NYOTA WETU Mwanamuziki nyota wa FM Academia, Malu Stonch amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla jukwaani. Hali hiyo imetokea katika ukumbi wa Target Mbezi Beach, Jumamosi ya usiku wa kuamkia leo wakati mwimbaji huyo akiwa jukwaani anaimba wimbo wa “Hadija”. Malu Stonch ni mmoja wa wanamuziki wakongwe wa dansi nchini, akizitumikia bendi mbalimbali. Ikiwemo Chuchu… Continue reading MWANAMZIKI WA FM ACADEMIA AFIA JUKWAANI

MWAMUZI BEIDA DAHANE ALIYEIUA YANGA ATOA KAULI HII NZITO KWA MASHABIKI

MICHEZO Kwa mara ya kwanza Mwamuzi wa kati aliyechezesha mechi ya juzi kati ya Mamelodi Sundowns na Yanga Beida Dahane raia wa Mauritania amefunguka kwamba asilaumiwe kwa lolote lile kwenye sakata la goli la Aziz Ki kukataliwa bali lawama zote ziwaendee waliokuwa wana-control Video Assistant Referee (VAR). Mwamuzi huyo ameeleza hayo wakati aki-chat Instagram na… Continue reading MWAMUZI BEIDA DAHANE ALIYEIUA YANGA ATOA KAULI HII NZITO KWA MASHABIKI

SIRI POLISI WASTAAFU KUPEWA AJIRA MPYA

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

SUALA LA RAIS SAMIA KUTOA SADAKA YA 5000 LIKO HIVI

HABARI KUU Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba, Amour Hamad Salehe, amekanusha taarifa za uzushi zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa sadaka ya Shilingi 5,000 akisema taarifa hizo ni upotoshaji. RC Amour ameyasema hayo kufuatia taarifa za baadhi ya watu kuandika katika mitandao ya kijamii kuhusu zoezi hilo, akisema yupo Mfanyabiashara… Continue reading SUALA LA RAIS SAMIA KUTOA SADAKA YA 5000 LIKO HIVI

WAZIRI MKUU OUSMANE SONKO ATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI SENEGAL

HABARI KUU Siku tatu baada ya kuapishwa kwa Rais wa tano wa nchi ya Senegal Bassirou Diomaye Faye, Waziri Mkuu Ousmane Sonko ameunda Serikali mpya yenye Mawaziri 25 na Makatibu watano wa Serikali. Katika Mawaziri hao ishirini na tano, karibu kumi kati yao walikuwa wanaunda serikali iliyopita chini ya Macky Sall. Waziri wa Mambo ya… Continue reading WAZIRI MKUU OUSMANE SONKO ATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI SENEGAL

MACKY SALL AMPONGEZA BASSIROU DIOMAYE FAYE KUSHINDA URAIS

HABARI KUU Rais wa Senegal anayemaliza muda wake, Macky Sall amempongeza mgombea wa upinzani, Bassirou Diomaye Faye kwa ushindi alioupata huku mshindani wake wa karibu, Amadou Ba akikubali kushindwa katika uchaguzi huo. Baada ya mgombea huyo wa chama tawala, Amadou Ba kutambua ushindi wa Faye katika duru ya kwanza na kutoa pongezi zake, Sall, ambaye… Continue reading MACKY SALL AMPONGEZA BASSIROU DIOMAYE FAYE KUSHINDA URAIS

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner