KATIBU MKUU WA CCM BADO ASHIKILIA MSIMAMO WA UMOJA WA KITAIFA ZANZIBAR

HABARI KUU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema uamuzi wa kuwepo kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar ulizingatia kutanguliza mbele usalama wa maisha ya watu, maslahi, utulivu na mstakabali mwema wa Zanzibar, Wazanzibar na Watanzania wote kwa ujumla, kuliko vyama vya siasa. Balozi Dk. Nchimbi amesema… Continue reading KATIBU MKUU WA CCM BADO ASHIKILIA MSIMAMO WA UMOJA WA KITAIFA ZANZIBAR

BUNGE LA TANZANIA LAKANUSHA MADAI YA MBOWE KUHUSU MISHAHARA MIPYA YA WABUNGE

HABARI KUU Bunge la Tanzania limekanusha madai yaliyotolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe ambapo alidai kwamba mishahara ya Wabunge imeongezwa mwaka 2023 kutoka shilingi milioni kumi na tatu (sh.13,000,000/=) hadi shilingi milioni kumi na nane (sh.18,000,000/=) Madai hayo aliyetoa jana ijumaa tarehe 22 Machi, 2024 alipokuwa anahutubia mkutano wa… Continue reading BUNGE LA TANZANIA LAKANUSHA MADAI YA MBOWE KUHUSU MISHAHARA MIPYA YA WABUNGE

CCM YASHINDA KWA KISHINDO KIGOMA UJIJI

HABARI KUU Msimamizi wa uchaguzi mdogo wa Kata ya Kasingirima, Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, Mwantumu Mgonja amemtangaza Mlekwa Kigeni wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi katika uchaguzi huo kwa kupata kura 437 dhidi ya mshindani wake wa ACT-Wazalendo, Alumbula Khalidi aliyepata kura 233. Ni katika uchaguzi mdogo uliofanyika leo Jumatano Machi 20,… Continue reading CCM YASHINDA KWA KISHINDO KIGOMA UJIJI

Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete ametunukiwa tuzo ya kiongozi bora wa mwaka 2023 katika Tuzo za Kiongozi Bora wa Afrika kwa Mwaka 2023 (African Leadership Person of the Year) kama Kiongozi Bora wa Mwaka katika Amani na Usalama barani Afrika.

Katika hotuba ya Dkt. Kikwete wakati wa hafla hiyo iliyoandaliwa na Jarida la Uongozi Afrika (ALM) jijini Addis Ababa, Ethiopia ameshukuru kwa kutunukiwa tuzo hiyo na kuwasihi Waafrika wote kwenye nafasi za uongozi kutoa kipaumbele kwenye masuala kutatua changamoto zilizopo ikiwemo umasikini, changamoto ya chakula, mabadiliko ya tabia ya nchi, magonjwa, ujinga, migogoro ya kisiasa… Continue reading Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete ametunukiwa tuzo ya kiongozi bora wa mwaka 2023 katika Tuzo za Kiongozi Bora wa Afrika kwa Mwaka 2023 (African Leadership Person of the Year) kama Kiongozi Bora wa Mwaka katika Amani na Usalama barani Afrika.

NCHIMBI AMTAJA SAMIA KUONGOZA KWA DEMOKRASIA

HABARI KUU Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi – CCM, Balozi Dkt. Nchimbi amesema dhamira ya Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha nchi inaongozwa kwa kuzingatia misingi ya demokrasia na utawala bora na hivyo haipaswi kutiliwa shaka hata kidogo. Dkt. Nchimbi ameyasema… Continue reading NCHIMBI AMTAJA SAMIA KUONGOZA KWA DEMOKRASIA

HISIA AMBAZO UTAZIPATA UKIKUTANA NA MWANAUME WA NDOTO YAKO .

MAPENZI. Mwanamke kumpata mwanaume wa ndoto yake huwa sio jambo la kawaida. Hata baadhi ya wanandoa huwa ni vigumu kwa haraka kupendana kwa hatua za mwanzo wa mahusiano yao ,huwa wanaenda kwa muda n baadaye kujikuta wametumbukia kwenye mapenzi mpaka hata kufunga ndoa. Ila kuna baadhi ambao huwa hawahitaji muda mrefu kuwa katika mahusiano na… Continue reading HISIA AMBAZO UTAZIPATA UKIKUTANA NA MWANAUME WA NDOTO YAKO .

WATU WATATU WANAOTIKISWA NA UWEPO WA PAUL MAKONDA CCM.

MASTORI MAKONDA NA NAPE Machi 22,2017. Kamati iliyoundwa na aliyekuwa Waziri wa Habari Nape Moses Nauye ,kuhusu uvamizi wa kituo cha Utangazaji cha Clouds . Yabainisha Paul Makonda alivamia kituo hicho mnamo Machi 17,2017 ,majira ya usiku. Kufuatia taarifa hiyo,wadau mbalimbali, kikiwemo chama cha wanasheria (TLS) kilitaka Rais John Magufuli kutengua uteuzi wa Makonda. Makonda… Continue reading WATU WATATU WANAOTIKISWA NA UWEPO WA PAUL MAKONDA CCM.

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner