MPINZANI NCHINI CHAD ATEULIWA KUWA WAZIRI MKUU

HABARI KUU. Rais wa mpito nchini Chad 🇹🇩, Mahamat idriss Deby Itno amemteua aliyekuwa kiongozi wa upinzani, Success Masra kuwa Waziri Mkuu atakayehudumu katika kipindi cha utawala wa kiraia katika taifa hilo ambalo limekuwa katika utawala wa kijeshi tangu Aprili 2021. Masra ambaye alirejea nchini humo kutoka uhamishoni mnamo Novemba 2023 baada ya makubaliano ya… Continue reading MPINZANI NCHINI CHAD ATEULIWA KUWA WAZIRI MKUU

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner