Aziz Ki hajasaini na sababu ni hizi zipo kwenye hela ya usajili na mshahara

Habari za uhakika ni kwamba Aziz Ki anamaliza mkataba wake mwisho wa msimu huu ambao unaishia rasmi tarehe 3 Juni baada ya fainali ya CRDB BANK CONFEDERATION CUP pale Zanzibar. Ukweli kutoka Yanga kupitia Meneja wa Habari ni kwamba Master Ki hajaongeza mkataba mpaka sasa na kuna ushindani wa vilabu vya nje ya nchi kumtaka… Continue reading Aziz Ki hajasaini na sababu ni hizi zipo kwenye hela ya usajili na mshahara

MWAMUZI BEIDA DAHANE ALIYEIUA YANGA ATOA KAULI HII NZITO KWA MASHABIKI

MICHEZO Kwa mara ya kwanza Mwamuzi wa kati aliyechezesha mechi ya juzi kati ya Mamelodi Sundowns na Yanga Beida Dahane raia wa Mauritania amefunguka kwamba asilaumiwe kwa lolote lile kwenye sakata la goli la Aziz Ki kukataliwa bali lawama zote ziwaendee waliokuwa wana-control Video Assistant Referee (VAR). Mwamuzi huyo ameeleza hayo wakati aki-chat Instagram na… Continue reading MWAMUZI BEIDA DAHANE ALIYEIUA YANGA ATOA KAULI HII NZITO KWA MASHABIKI

MAMBO 12 YANAYOSAIDIA KUPATA MPENZI HARAKA

MAPENZI Watu wengi sio vijana au mabinti pekee ni wenye uhitaji wa kuwa na wenza hata walioachika wana uhitaji wa kupata wenza wao. Ukiwa ni mwaka mpya ,sasa unatakiwa kukaa kwenye maeneo sahihi ili uwezeke kupata mwenza wako. Sasa hapa kuna mambo fulani ya kuzingatia ili uonekane,upatikane na uweze kupendwa. Fanya yafuatayo;- Najua malengo ya… Continue reading MAMBO 12 YANAYOSAIDIA KUPATA MPENZI HARAKA

MDEE NA WENZAKE BADO BADO CHADEMADiscoverCars.com

HABARI KUU Mahakama kuu imetengua uamuzi wa Baraza Kuu La CHADEMA lililoidhinisha uamuzi wa kamati kuu ya Chama hicho uliowavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18. Jaji Cyprian Mkeha amesema kitendo cha wajumbe wa kamati kuu kuwa wajumbe wa Baraza Kuu na kutoa uamuzi wa rufaa ni kinyume na kanuni za asili. Pia, Mahakama imeiamuru… Continue reading MDEE NA WENZAKE BADO BADO CHADEMADiscoverCars.com

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner