SABABU ZA BAKARI MWAMUNYETO KUGOMEA KURUDI YANGA

NYOTA WETU Nahodha wa timu ya Yanga amegoma kurejea kambini kujiandaa na mchezo wa robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika CAFCL kutoķana na kile kinachodaiwa ufinyu wa nafasi katika kikosi cha kwanza. Katika Mechi za hivi karibuni kocha wa Yanga Miguel Gamond amekua akiwatumia Dickson Job na Ibrahim Bacca kama mabeki wakati, kitu… Continue reading SABABU ZA BAKARI MWAMUNYETO KUGOMEA KURUDI YANGA

RAMADHAN WASSO AFARIKI DUNIA

NYOTA WETU Nyota wa zamani wa Simba na Yanga Ramadhan Wasso amefariki dunia leo nchini Burundi. Wasso raia wa Burundi ambaye usajili wake wa kutoka Simba kwenda Yanga ulitikisa sana mwanzoni wa mwaka 2000 atakumbukwa kwa ustadi mkubwa wa kumudu kucheza kama Mlinzi wa kushoto na mwenye uwezo mkubwa wa kupanda na kusaidia mashambulizi. Taarifa… Continue reading RAMADHAN WASSO AFARIKI DUNIA

UFAFANUZI WA ULINZI WA KIONGOZI WA KOREA KASKAZINI KIM JONG UN “KIDUKU”

MAKALA Kama inavyofahamika dhahiri kuwa ni vigumu kwa mwanga wa mshumaa kudumu katikati ya upepo wa kimbunga unaoangusha maghorofa; vivyo hivyo ni vigumu hata kwa ‘inzi’ mwenye nia ovu kumsogelea Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un. Huyu ni kiongozi ambaye vyombo vya habari vya Magharibi vimekuwa vikimuelezea kwa namna ambayo imetofautiana sana na mtazamo wa… Continue reading UFAFANUZI WA ULINZI WA KIONGOZI WA KOREA KASKAZINI KIM JONG UN “KIDUKU”

HAWA NDIO WASHINDI WA KUHIFADHI QURAN TUKUFU MWAKA 2024

HABARI KUU Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amewahimiza Waumini wa Dini ya kiislamu kuendelea kuhifadhi Quran Tukufu na kufundisha watoto wao kuisoma na pia wazidishe kutoa sadaka kwa watu wenye mahitaji hususani katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani. Rais Dk.Mwinyi amesema hayo katika fainali za 24 za Mashindano… Continue reading HAWA NDIO WASHINDI WA KUHIFADHI QURAN TUKUFU MWAKA 2024

KAMWE AFUNGUKA SIRI NZITO KUHUSU WACHEZAJI WALIOPATA MAJERAHA YANGA

MICHEZO Ofisa habari wa Yanga SC Ally Kamwe amewataka wananchi kutohofia majeraha yanayowakabili wachezaji wao badala yake wajipange kujitokeza Kwa wingi katika mchezo wao wa robo fainal ligi ya mabingwa Afrika mwisho wa mwezi huu dhidi ya Mamelod Sundown. “Wote tuliona namna wachezaji wetu wawili walivyoshindwa kuendelea na mchezo hapo jana Pacome alilazimika kutoka nje… Continue reading KAMWE AFUNGUKA SIRI NZITO KUHUSU WACHEZAJI WALIOPATA MAJERAHA YANGA

TIMU ZINAZOWANIA KUMNASA PRINCE DUBE

Uongozi wa Azam FC umethibitisha kupokea ofa kutoka katika timu za Simba SC ya Tanzania na Al Hilal ya Sudan, zikihitaji huduma ya straika wake Prince Dube.

Katika taarifa yake ilitolewa leo, Azam FC imesema inazifanyia kazi ofa hizo huku ikiweka milango wazi kwa timu nyingine zitakazomuhitaji mchezaji huyo raia wa Zimbabwe.

Prince Dube ambaye bado ana mkataba na Azam FC, alishaandika barua ya kuomba kuondoka klabuni hapo, na uongozi wa Azam FC ukaweka wazi utaratibu wa kimkataba ukimtaka kulipa Dola za Kimarekani 300,000/ ili kuvunja mkataba huo.

TFF YATOA UFAFANUZI SABABU ZA MBWANA SAMATTA KUTOITWA TAIFA STARS

MICHEZO Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema Nahodha wa Timu ya Taifa Mbwana Samatta hajaitwa kwenye kikosi cha Taifa Stars kwa sababu alimuomba Kocha Hemed Suleiman asimjumuishwe kwenye kikosi hiko kuelekea michezo ya FIFA Series. “Nahodha wa Timu ya Taifa Taifa Stars, Mbwana Samatta ameomba kutojumuishwa kwenye kikosi kilichoitwa kwa michezo ya FIFA… Continue reading TFF YATOA UFAFANUZI SABABU ZA MBWANA SAMATTA KUTOITWA TAIFA STARS

ARAFAT HAJI AONYA MASHABIKI WA TANZANIA KUWASAIDIA WAGENI

MICHEZO Makamu wa rais wa Yanga, Arafat Haji amesema Simba na Yanga zina nafasi ya kutinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa ikiwa zitajipanga vizuri na kutumia zaidi uwanja wa nyumbani na mashabiki wakiacha kusaidia wageni. “Wenzetu huwa na umoja sana linapokuja suala la timu zao kwenye michuano ya kimataifa, kwa mfano wale waliobahatika kwenda… Continue reading ARAFAT HAJI AONYA MASHABIKI WA TANZANIA KUWASAIDIA WAGENI

CAFCL ROBO FAINALI:YANGA VS MAMELODI,SIMBA VS AL AHLY

MICHEZO Klabu ya Yanga SC itakutana na Klabu ya Mamelodi Sundowns kutoka Afrika Kusini kwenye mchezo wa Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Katika Droo iliyochezeshwa leo, Mtani wa Jadi wa Yanga, Klabu ya Simba SC imepangiwa kuvaana na Klabu ya Al Ahly FC kutoka Misri Aidha, Klabu ya TP Mazembe itakutana na Klabu ya… Continue reading CAFCL ROBO FAINALI:YANGA VS MAMELODI,SIMBA VS AL AHLY

SABABU MUSONDA NA CHAMA KUITWA TIMU YA TAIFA ZAMBIA

MICHEZO Mshambuliaji wa Yanga Sc Kennedy Musonda na Kiungo Clatous Chama wa Simba wameendelea kula shavu la kuwa miongoni mwa wachezaji 24 wa Zambia watakaoshiriki mashindano maalum ya kirafiki yatakayofanyika baadaye mwezi huu huko Malawi baada ya kuitwa na Kocha wao wa Taifa. Kocha wa Zambia, Avram Grant amewaita Chama Musonda kutoka hapa ligi ya… Continue reading SABABU MUSONDA NA CHAMA KUITWA TIMU YA TAIFA ZAMBIA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner