YANGA YAICHAPA IHEFU LEO

MICHEZO Mbogomaji wameingia kwenye ‘list’ ya timu zilizochukua magoli matano kutoka kwa Wananchi mpaka sasa msimu huu. FT: Yanga SC 5-0 Ihefu FC⚽ Pacome 9′⚽ Mudathir 29′⚽ Aziz Ki 68′⚽ Okrah 83′⚽ Maxi 86′ Stephanie Aziz Ki amehusika kwenye magoli manne kati ya matano ya Yanga leo, goli moja na hat-trick ya ‘assist’ Aziz Ki… Continue reading YANGA YAICHAPA IHEFU LEO

YANGA YAICHAPA NAMUNGO

MICHEZO Wananchi wameendeleza mwenendo mzuri wa ushindi baada ya kuchukua alama zote tatu mbele ya Wauaji wa Kusini katika dimba la Majaliwa, Ruangwa licha ya kuwakosa baadhi ya wachezaji wake muhimu kama Djigui Diarra, Khalid Aucho, Joyce Lomalisa, Pacome Zouzoua na Kennedy Musonda. FT: Namungo Fc 1-3 Yanga Sc⚽ Bacca (og) 69′⚽ Mudathir 54′⚽ Mzize… Continue reading YANGA YAICHAPA NAMUNGO

HAJI MANARA AZIDISHA MOTO SUALA LA PRINCE DUBE KUAMIA YANGA

MICHEZO Baada ya Mchambuzi wa masuala ya kandanda Jemedari Saidi kupinga shauri la Haji Manara la kumchangia Prince Dube, manara amemjibu haya kupitia kwenye Instagram. “Mnaandika wenyewe mimi nimefungiwa, baadae mnasema sipo katika familia ya Mpira, hapo hapo mnasema nipuuzwe na baadae mnadai mimi Mjinga, kiufupi Mimi ndio Star wenu huku mitandaoni, Mimi ndio nnaewapa… Continue reading HAJI MANARA AZIDISHA MOTO SUALA LA PRINCE DUBE KUAMIA YANGA

PRINCE DUBE AMETANGAZA KUONDOKA AZAM FC

MICHEZO Mshambuliaji Prince Dube ametangaza kuondoka Azam FC na kuhitimisha miaka minne ya utumishi wake klabuni hapo. “Ninapoendelea na sura mpya katika kazi yangu ninabeba masomo niliyojifunza wakati nikiwa Azam FC, sapoti niliyopata kutoka kwa mashabiki ilikuwa ya ajabu. Nami nitathamini daima kumbukumbu tulizoweka pamoja.” amesema Dube kupitia barua yake ‘thank you’ kwa Azam FC… Continue reading PRINCE DUBE AMETANGAZA KUONDOKA AZAM FC

TAKWIMU ZA PACOME NA CHAMA KWENYE LIGI KUU TANZANIA NA MABINGWA AFRIKA

MAKALA Takwimu za PACOME na CHAMA kwenye Ligi na Klabu Bingwa Afrika msimu huu:- Kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu kiungo wa Yanga Sc, Pacome Zouzoua amefunga magoli matatu na kusaidia (assist) bao moja. Kwa upande wake Mwamba wa Lusaka Clatous Chota Chama amefunga bao moja na ‘assist’ moja. Kwenye… Continue reading TAKWIMU ZA PACOME NA CHAMA KWENYE LIGI KUU TANZANIA NA MABINGWA AFRIKA

ALICHOFANYA CHAMA MPAKA KUFUNGIWA NA SIMBA

NYOTA WETU Klabu ya Simba imewasimamisha, Clatous Chama na Nassor Kapama huku kukiwa na taharuki ,je wawili hao wamegomba kambini? Au ni sababu gani zinawafanya waonekane watovu wa nidhamu? Kwa mujibu wa chanzo chetu , wachezaji hawa hawajagombana na kila mtu ana sababu zake binafsi za kufungiwa. Nassor Kapama, ameonyesha utovu wa nidhamu baada ya… Continue reading ALICHOFANYA CHAMA MPAKA KUFUNGIWA NA SIMBA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner