CHELSEA KUVUNJA REKODI KWA OSIMHEN

MICHEZO Bosi wa klabu ya Chelsea, Toddy Boehly , amedhamiria kuweka rekodi kwa kumsajili nyota wa Nigeria na Mshambuliaji wa Napoli ya Tulin , Victor Osimhen ,wakati wa dirisha la usajili litakalofunguliwa, mwezi Januari. Osimhen amekuwa kwenye rada za Arsenal, lakini huenda Washika Bunduki wa London wakaachana na dili lake, baada ya Napoli kuhitaji kiasi… Continue reading CHELSEA KUVUNJA REKODI KWA OSIMHEN

PEP GUARDIOLA AUKUBALI MZIKI WA CHELSEA

MICHEZO Kocha wa Manchester City akizungumza kuhusu Chelsea;- “Chelsea walichokifanya kwenye usajili ndicho kimewafanya wawe hivi . Watafikia mafanikio ndani ya msimu huu au misimu ijayo kwasababu wamejijenga kwa ajili ya hilo. Kama unategemea timu zije hapa kushinda 7-0 basi unakosea. Unajua kwa kiasi gani Chelsea imejijenga ?Tulipopita ilikuwa Manchester City. MANCHESTER CITY, Manchester city… Continue reading PEP GUARDIOLA AUKUBALI MZIKI WA CHELSEA

UCHAMBUZI WA CHELSEA NA ARSENAL

MASTORI Mchambuzi Garry Neville “Ukiangalia kwa kujipanga ,Chelsea walikuwa bora sana kwenye ulinzi . Wamefanya kitu ambacho Brighton huwa wanakifanya,Gallagher na Palmer kuja kwenye namba 10 na kiliwashangaza sana Arsenal. “Hawakuweza kupeleka mpira kwa Odeegard kwasababu ya hiyo safu ya kiungo yenye watu wanne . Mauricio Pochettino ni kocha mzuri sana na ninafikiri atajivunia sana… Continue reading UCHAMBUZI WA CHELSEA NA ARSENAL

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner