WAMILIKI WAPYA CHELSEA WAKWAMA KUKOPA banner

Michezo Kwa mujibu wa jarida la Bloomberg, wamiliki wapya wa Chelsea wanapanga kukopa paundi 250 milioni kwa ajili ya kuingia sokoni kununua wachezaji wapya. Pamoja na mpango mkakati huo wamiliki hao watakwaa kisiki kutokana na kipengele cha mkataba walichowekeana ,wakati Roman Abramovich akishinikizwa kuiuza klabu ya Chelsea. Kipengele hicho cha mkataba kinasema ,wamiliki wapya hawatakiwi… Continue reading WAMILIKI WAPYA CHELSEA WAKWAMA KUKOPA banner

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner