5 WRONG REASONS PEOPLE GET MARRIED!

📌FOR CONTENT CREATION. Marriage is not for entertainment! It’s wrong if you’re getting married solely to feed the audience’s eyes. Marriage goes beyond that. 📌TO PLEASE THE PUBLIC. You need to know that people don’t get tired of putting pressure on others. You can’t please everybody, and these people won’t be in the marriage with… Continue reading 5 WRONG REASONS PEOPLE GET MARRIED!

What is the best way to choose life partner?

1️⃣Find someone who can laugh at your silly jokes. 2️⃣Find someone who can bear your pain. 3️⃣Find someone who feels the same way as you do. 4️⃣Find someone who has a few basics in common, loves you back, differs with you some, waits on you when you’re low and truly loves and feels for you.… Continue reading What is the best way to choose life partner?

Mambo 6 Muhimu ya kuzingatia kwenye kilimo cha Papai ili ufanikiwe.

Kilimo cha papai ni moja ya shughuli za kilimo zinazofanyika sana katika nchi nyingi duniani. Papai ni zao la chakula na biashara ambalo linapatikana kwa urahisi na lina faida nyingi kwa wakulima. Hapa chini ni mambo 6 muhimu ya kuzingatia katika kilimo cha papai: Uzalishaji wa papai unaweza kuongezeka kwa kiasi kikubwa kwa kutumia miche… Continue reading Mambo 6 Muhimu ya kuzingatia kwenye kilimo cha Papai ili ufanikiwe.

WHAT TO DO WHEN YOU FEEL LIKE GIVING UP ON YOUR MARRIAGE

Historia ya Mwanamziki Diamond platnumz

Nasibu Abdul Juma Isaac (maarufu kwa jina la kisanii kama Diamond Platnumz; majina mengine ya kisanii ni kama Chibu, Simba, Nasibu kichwa, Simba la masimba ama Dangote; alizaliwa Dar es Salaam, Tanzania, 2 Oktoba 1989) ni mwimbaji wa nyimbo za Bongo Fleva na dansa kutoka nchini Tanzania. Ni mwimbaji na mtunzi wa muziki wa Kitanzania… Continue reading Historia ya Mwanamziki Diamond platnumz

Kwanini Biden amekiri kuzidiwa na Donald Trump?

Rais wa Marekani Joe Biden kwa mara nyingine, amekiri kuwa hakuonesha uimara wakati wa mdahalo wa Televisheni dhidi ya mpinzani wake, rais wa zamani Donald Trump rump wiki iliyopita, na kuapa kujiimarisha katika siku zijazo na katika uwanja wa kampeni kuelekea uchaguzi wa mwezi Novemba. Siku ya Jumatano, Biden alikutana na kufanya mazungumzo na Magavana… Continue reading Kwanini Biden amekiri kuzidiwa na Donald Trump?

Mambo 10 ya kisheria ya kuzingatia kabla ya kununua gari kwa mtu

Mambo 10 kisheria unapaswa kuzingatia kabla hujanunua gari kwa mtu. Fuatilia mwanzo mwisho uzi huu itakusaidia. 1.Hakikisha muuzaji anamiliki gari kihalali na ana haki ya kuliuza. Uliza kuona jina la gari na uhakikishe kuwa jina la muuzaji linalingana na jina lililo kwenye kwa blue card original. Kumbuka tuu mtu hawezi kuuza Mali isiyo yake kisheria.… Continue reading Mambo 10 ya kisheria ya kuzingatia kabla ya kununua gari kwa mtu

Things Women Love about Sex but are afraid to speak

10 THINGS WOMEN LOVE ABOUT SEX BUT ARE AFRAID TO TELL YOUSo you won’t see them as cheap, ignore them, disregard their feelings or outright reject them (rejection hurts like hell!) This can make a woman break down emotionally, become frigid, hate sex and see herself as worthless. Sexual rejection from a husband can make… Continue reading Things Women Love about Sex but are afraid to speak

Waingereza wapiga kura Labour ikitabiriwa kushinda

Wananchi wa Uingereza wanaendelea kupiga kura katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kukirejesha madarakani chama kikuu cha upinzani cha Labour, na kumaliza takribani muongo mmoja na nusu wa utawala wa chama cha Conservative. Huu ni uchaguzi wa kwanza wa kitaifa tangu Boris Johnson aliposhinda kwa kishindo kura ya mwaka 2019. Unafanyika baada ya Waziri Mkuu Rishi Sunak… Continue reading Waingereza wapiga kura Labour ikitabiriwa kushinda

WHEN MEN ARE SILENT, DO THIS!

📌Ladies, Take Note. Ensure You Read To The End!📌 During a Personalised Relationship Coaching Session with a single lady who is in her early thirties, she complained about a male friend of hers who has never really expressed love to her in any way, but was always showing her love. They have been friends for… Continue reading WHEN MEN ARE SILENT, DO THIS!

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner