Kwanini Gen Z wanaandamana Kenya?

Generation Z nchini Kenya wameendelea na maandamano wakimshinikiza Rais William Ruto ajiuzulu kwa madai ameshindwa kuongoza nchi hiyo. Maandamano ya vijana wanaojulikana Gen Z yanaendelea nchi Kenya licha ya Rais William Ruto kupanga kukutana nao kwa njia ya mtandao na vijana hao Julai 4. Vijana hao leo wameingia mitaani katika miji kadhaa ya Kenya ukiwemo… Continue reading Kwanini Gen Z wanaandamana Kenya?

SAMIA kubeba gharama za matibabu ya Sativa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa atabeba gharama zote za matibabu ya kijana Edgar Mwakabela, maarufu kama Sativa kuanzia sasa mpaka atakapopona kabisa, pamoja na kuhakikisha unafanyika uchunguzi wa tukio la kutekwa kwake. Hayo yameelezwa Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto kabwe leo baada ya… Continue reading SAMIA kubeba gharama za matibabu ya Sativa

19 WAYS ON HOW A MAN CAN MAKE HIS WOMAN FEEL SEXY

South African man receives backlash for demanding that a woman repay him for the expenses he incurred on their date after she declined his advances.

The internet community has mercilessly criticized a man from South Africa for requesting a refund from his date for the money he spent on her during their time together. The man, who posted a screenshot of the conversation where he made the request, was likely hoping for sympathy but received quite the opposite. Much to… Continue reading South African man receives backlash for demanding that a woman repay him for the expenses he incurred on their date after she declined his advances.

20 SEX TIPS FOR HUSBANDS

Kwanini Mahakama imemfutia Donald Trump mashitaka yanayomkabili?

WASHINGTON Mahakama Kuu ya Marekani imeamua kwamba Donald Trump hawezi kushtakiwa kwa matendo ambayo yalikuwa ndani ya mamlaka yake ya kikatiba kama Rais katika uamuzi wa kihistoria unaotambua kwa mara ya kwanza aina yoyote ya kinga ya Rais dhidi ya mashtaka. Majaji, katika uamuzi wa 6-3 ulioidhiishwa na Jaji Mkuu John Roberts, wametupilia mbali uamuzi… Continue reading Kwanini Mahakama imemfutia Donald Trump mashitaka yanayomkabili?

Kilichosababisha Waandamanaji 39 kuuawa Kenya chatajwa

Tume ya Taifa ya Haki za Binadamu nchini Kenya, imeripoti kuwa Jumla ya watu 39 wameuawa katika maandamano dhidi ya serikali nchini Humo, huku wanaharakati wakiongeza juhudi za kuitisha duru nyingine ya maandamano wiki hii. “Takwimu kutoka kwa rekodi zetu zinaonyesha kuwa watu 39 wamekufa na 361 kujeruhiwa kuhusiana na maandamano ya nchi nzima,” tume… Continue reading Kilichosababisha Waandamanaji 39 kuuawa Kenya chatajwa

HOW TO PREPARE YOUR HUSBAND WELL FOR LOVE MAKING.

Learn it, practice it and use it. NB: No excuses,that if I do this men are always men…No!, if you change your mind, you will change your marriage too. Once you do this as a woman you will make your marriage a small paradise on earth to be.

12 WAYS ON HOW TO COMPLIMENTS TO TELL YOUR SPOUSE

How to avoid unnecessary Break heart in a Relationship

It hurts me a lot whenever I see a good relationship tearing apart, but then it comes into my mind that most people don’t know how to maintain a relationship. So I have to say this..1- FOR GUYS.“`Guys if you love a girl and you’re sure you love her, there are things you have to… Continue reading How to avoid unnecessary Break heart in a Relationship

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner