KWANINI MAHUJAJI WANAKUFA KWENYE MIJI YA MAKKAH NA MADINA?

HABARI KUU Mamia ya mahujaji wamefariki dunia na maelfu wanatibiwa kutokana na magonjwa yanayotokana na joto kali walipokuwa wanatekeleza ibada ya kila mwaka ya Hija mjini Makkah, Saudi Arabia, huku joto likifikia nyuzi 49 (Fahrenheit 120). Wakati CNN ikisema waliokufa ni mamia, India Today imetaja zaidi ya 1,000 na The Guardian la Uingereza limetaja watu… Continue reading KWANINI MAHUJAJI WANAKUFA KWENYE MIJI YA MAKKAH NA MADINA?

JINSI POMBE ILIVYOUWA WATU 34 NCHINI INDIA

HABARI KUU Takriban watu 34 wamekufa baada ya kunywa pombe haramu ya kienyeji inayoaminika kuwa na sumu katika jimbo la Tamil Nadu, kusini mwa India, maofisa wamesema. Tukio hilo lilitokea katika Wilaya ya Kallakuruchi ambapo watu waliofakamia pombe hiyo walijikuta wako hoi muda mfupi baada ya kuinywa Takriban watu 80 wako hospitalini kutokana na kunywa… Continue reading JINSI POMBE ILIVYOUWA WATU 34 NCHINI INDIA

RULES OF DATING SOMEONE’S HUSBAND;

ORODHA YA MAJINA YA WALIOMUUA MTOTO ALBINO YAWEKWA WAZI

HABARI KUU Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Raia wema wanaochukia vitendo vya kinyama baada ya msako mkali kuanzia May 31, 2024 hadi usiku wa kuamkia leo June 19, 2024 wamefanikisha kukamatwa kwa Watu tisa wakiwa na viungo vinavyodhaniwa ni vya Mtoto Albino Asimwe Novart (aliyeuawa Wilayani Muleba Mkoani Kagera) wakiwa wamehifadhi katika vifungashio vya… Continue reading ORODHA YA MAJINA YA WALIOMUUA MTOTO ALBINO YAWEKWA WAZI

SIASA ZA SUKARI NA SUKARI YA SIASA

MAKALA Dr. Benson Bagonza SIASA ZA SUKARI Vs SUKARI YA SIASA Sukari ni tamu lakini inalimwa mahali pagumu. Siku za karibuni imekuwa ghali sana. Huku vijijini familia inanunua kilo moja na kuitunza kwa ajili ya mgonjwa atakayeugua maralia. Liko tabaka ambalo utamu wa sukari ni sumu kwao. Kwao hawa, sukari ikipanda si tatizo. Lakini ziko… Continue reading SIASA ZA SUKARI NA SUKARI YA SIASA

19 ROMANTIC THINGS TO DO THAT DON’T INVOLVE SEX

When romance is often mentioned, many think it is all about sex. But romance is actually anything you do to your partner that communicate and show that him/her is special to you. Here are a few examples. Remember that is your life partner. Do and say things that communicate love. If you two are dating… Continue reading 19 ROMANTIC THINGS TO DO THAT DON’T INVOLVE SEX

WALIOHUSIKA KUMUUA MTOTO ASIMWE WAKAMATWA HUKU IDADI YAO IKISALIA SIRI YA JESHI LA POLISI

HABARI KUU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema tayari Jeshi la Polisi, limewakamata wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya mtoto mwenye Ualbino Asimwe Novath (2). Mwili wa mtoto Asimwe ulipatikana siku Jumatatu, Juni 17 ukiwa katika mfuko wa sandarusi, huku baadhi ya viungo vikiwa vimenyofolewa. Asimwe alichukuliwa na watu wasiojulikana nyumbani kwao… Continue reading WALIOHUSIKA KUMUUA MTOTO ASIMWE WAKAMATWA HUKU IDADI YAO IKISALIA SIRI YA JESHI LA POLISI

MAMBO USIYOFAHAMU KUMHUSU SALLAM SK

Sallam Sk Ni Moja Kati Ya Nguzo Muhimu Sana Kwenye Muziki Wa Bongo Fleva Ni Mtu Ambae Akipanga Mpango Wake Huwa Haufeli, Sifa Yake Kubwa Ni Misimamo Mikali Kitu Kinachofanya Wasanii Wamuogope Sana Hata Wasanii Wa Wasafi Wanamuogopa Sana Sallam Sababu Huwa Hana Masihara Wala Urafiki Kwenye Suala La Kazi. Watu Wengi Wamemfahamu Zaidi Baada… Continue reading MAMBO USIYOFAHAMU KUMHUSU SALLAM SK

Fahamu Sababu za Mimba Kuharibika

AFYA Mimba kuharibika ni kitendo cha mwanamke kupoteza mimba au ujauzito, na mala nyingi hali hii hujitokeza ndani ya miezi mitatu ya kwanza ya ujauzito. Ingawa watu wengi wamekuwa na imani mbalimbali kwamba kuharibika kwa mimba huchangiwa na ushirikina, Jambo ambalo sio sahihi kabisa, kwani kuharibika kwa mimba husababishwa na mambo mbali mbali yanayoathiri ufanyaji… Continue reading Fahamu Sababu za Mimba Kuharibika

Foden praises Palmer: ‘He can have a big impact on the Euro’

Manchester City star Phil Foden has shared his thoughts on England teammate Cole Palmer. Both players are currently in Germany for the 2024 European Championships. In the opening match against Serbia (1:0), Foden played the full 90 minutes, but his unusual position as a left winger did not work. Palmer remains on the bench for… Continue reading Foden praises Palmer: ‘He can have a big impact on the Euro’

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner                           Â