WAYS TO TEST TRUE LOVE

LOVE TIPS ❤ 17 WAYS TO TEST TRUE LOVE I Love you! You love me! Is a common saying. Everyone want to be in Love but not everyone is ready to pay the price. To know whether it is true love or not. I will mention few ways to test true love. 1. Truth test… Continue reading WAYS TO TEST TRUE LOVE

Chelsea kumuuza Trevoh Chalobah

MICHEZO Klabu ya Chelsea iko tayari kumuuza Trevoh Chalobah kwa Pauni Milioni 25 msimu huu wa joto na inapania kutoa ofa kwa beki huyo mwenye umri wa miaka 24. Kwa mujibu wa Gazeti la Telegraph, Mchezaji huyo kutoka England alitakiwa na Tottenham, Bayern Munich na Nottingham Forest msimu uliopita wa joto. Pendekezo la kwanza kwa… Continue reading Chelsea kumuuza Trevoh Chalobah

Mohamed Salah aonyesha nia ya kusalia Liverpool

MICHEZO Mshambuliaji kutoka nchini Misri Mohamed Salah ameonesha nia ya kutaka kubaki Liverpool, licha kuhusishwa na mpango wa kutaka kuondoka mwishoni mwa msimu huu. Mshambukliaji huyo amekuwa akihusishwa na mpango wa kuhamia nchini Saudi Arabia, na ilielezwa mwanzoni mwa msimu wa 2023/24 alikaribia kujiunga na moja ya klabu zinazocheza Ligi ya nchi hiyo, ambayo inaendelea… Continue reading Mohamed Salah aonyesha nia ya kusalia Liverpool

Radamel Falcao mbioni kuiacha Rayo Vallecano

MICHEZO Aliyewahi kuwa mshambuliaji wa klabu za Chelsea na Manchester United Radamel Falcao ametangaza kuachana na Klabu ya Rayo Vallecano ya Hispania. “Mkataba wangu unaisha Juni 30 na kisha nitaangalia ni chaguo gani. “Najisikia vizuri, nataka kuendelea kucheza, hivyo tutaangalia mpango huo kwa umakini, mimi na familia yangu ambayo ina uzito mkubwa katika uamuzi huu.… Continue reading Radamel Falcao mbioni kuiacha Rayo Vallecano

Toni Kroos atangaza kustaafu soka

MICHEZO Kiungo kutoka nchini Ujerumani na Klabu ya Real Madrid Toni Kroos amesema atastaafu kandanda baada ya Fainali za Mataifa ya Barani Ulaya Euro 2024, zitakazounguruma mwezi ujao. Msimu huu 2023/24 unakuwa wa mwisho kwa kiungo huyo kucheza soka katika ngazi ya Klabu akiwa na Real Madrid. Kroos alisajiliwa Real Madrid mwaka 2014 akitokea FC… Continue reading Toni Kroos atangaza kustaafu soka

Newcastle United kumsajili Giorgi Mamadashvili

MICHEZO Klabu ya Newcastle United inaandaa ofa ya kumsajili Mlinda Lango wa Valencia, Giorgi Mamadashvili. Kipa huyo kutoka nchini Georgia anatarajiwa kuuzwa na Los Che msimu huu wa majira ya joto. Gazeti la The Times limeripoti kuwa, Newcastle wana nia ya kumpeleka Mamadashvili nchini England, ili kumpa changamoto Mlinda Lango wao wa sasa Nick Pope.… Continue reading Newcastle United kumsajili Giorgi Mamadashvili

MAJOR REASONS WHY RELATIONSHIP END

LOVE TIPS ❤ 6 MAJOR REASONS WHY RELATIONSHIPS END Are you falling out of love with your partner? So why were you so madly in love in the beginning and you are so out of love at the moment? Check out some of the reasons why couples fall out of love 1. THE RELATIONSHIP WASN’T… Continue reading MAJOR REASONS WHY RELATIONSHIP END

4 TIMES WHEN WIFE NEEDS HUSBAND MORE

LOVE TIPS ❤ DEAR HUSBAND,4 TIMES YOUR WIFE NEEDS YOU MORE We all know that Women are emotional creatures, they need special attention and to be handled with understanding as peculiar vessels. But in certain times, they become even more emotional and thus require even more TLC. Read onFour times every Wife needs her Husband… Continue reading 4 TIMES WHEN WIFE NEEDS HUSBAND MORE

BEST ADVICES TO STOP THE LIES IN YOUR MARRIAGE

LOVE TIPS ❤ 1. Wives, stop faking your orgasms and lying that your husband sexually satisfies you. Soon you will get tired of faking. Show your husband how you want him to make love to you. A man feels good when he knows he makes his wife cum real good 2. Husbands, stop lying to… Continue reading BEST ADVICES TO STOP THE LIES IN YOUR MARRIAGE

SABABU 10 ZA MIMBA KUHARIBIKA

AFYA ” HIZI HAPA SABABU KUMI MUHIMU ZA MIMBA KUHARIBIKA – ( MISCARRIAGE ). Kati ya mimba 100 zinazobebwa ni 80 tu ndio zinafika kuzaliwa, yaani asilimia ishirini ya mimba zinazobebwa huharibika hata kabla ya kufika miezi mitatu. Kuna sababu nyingi zinazoweza sababisha mimba kuharibika lakini leo nitaeanda Kuongelea zile muhimu ili kila mtu kama… Continue reading SABABU 10 ZA MIMBA KUHARIBIKA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner