CASTER SEMENYA KURUDI MASHINDANONI AKIVUKA KIZUIZI HIKI
MICHEZO Mawakili wa bingwa wa Olimpiki mara mbili, Caster Semenya wanasema mteja wao "anajisikia utulivu na kujiamini" kabla ya kusikilizwa kwa kesi inayohusu kama atatakiwa kupunguza viwango vyake vya homoni…