FAHAMU YALIYOJILI KWENYE KESI YA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA SIMIYU.
NI KESI INAYOHUSU TUHUMA ZA KUMWINGILIA KINYUME NA MAUMBILE BINTI WA 2003. UTAELEWA JAMAA KASHINDAJE, USHAHIDI ULIOLETWA MAHAKAMANI PANDE ZOTE MBILI. TWENDE MWANZO HADI MWISHO.👇 Mtuhumiwa Yahya Nawanda ( aliyekuwa…