11 POWERS OF A WOMAN’S TONGUE

LOVE ❤ 1. A woman’s greatest power is in her words, whereas men are physically strong, a woman can bring down a man just with her tongue 2. A woman’s words can encourage a man and be his greatest inspiration, or discourage him and be his greatest nightmare. The more he loves her, the more… Continue reading 11 POWERS OF A WOMAN’S TONGUE

HOW TO GET ALL THE MONEY YOU NEED FROM YOUR MAN

LOVE ❤ If you want more money from your man or you want to turn your stingy husband into a super generous, lavish giver who never says NO to your demands, here are the simple things you can do to pratically turn your husband into an ATM machine that spills out money at your beck… Continue reading HOW TO GET ALL THE MONEY YOU NEED FROM YOUR MAN

ARIEL HENRY AJIUZULU KUWA WAZIRI MKUU WA HAITI

HABARI KUU Kiongozi wa Taifa la Caribbean, Kiongozi wa jumuiya ya kikanda na Rais wa Guyana, Irfaan Ali ametangaza kujiuzulu kwa Waziri Mkuu wa Haiti, Ariel Henry (74), ambaye amekuwa akishililia nafasi hiyo isiyo ya kuchaguliwa, tangu mauaji ya mwaka 2021 ya Rais wa mwisho wa nchi hiyo, Jovenel Moise. Kujiuzulu kwa Henry, kunajiri baada… Continue reading ARIEL HENRY AJIUZULU KUWA WAZIRI MKUU WA HAITI

NYOTA WA MIELEKA VIRGIL JONES AFARIKI DUNIA

NYOTA WETU Nyota wa Mieleka wa Marekani Michael Jones (61) almaarufu kama “Virgil” amefariki dunia. Kupitia Mtandao wa X, Refa wa Mieleka Mark Charles amethibitisha kuwa Virgil alifariki kwa amani akiwa hospitali. Mwanamieleka huyo alivuma zaidi kwa kazi yake katika Shirikisho la mieleka duniani (WWF) kati ya miaka ya 1980 na 1990. Mwaka 2022 Virgil… Continue reading NYOTA WA MIELEKA VIRGIL JONES AFARIKI DUNIA

WATU 15 WAMEUAWA WAKIWA KANISANI

HABARI KUU Watu 15 wameuawa na wengine wawili kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi kwenye Kanisa Katoliki wakati wa ibada ya Februari 25, 2024 katika Kijiji cha Essakane Kasisi wa Dayosisi ya Dori, Jean Pierre Sawadogo amesema watu wenye silaha walivamia na kuua Watu 12 eneo la tukio na wengine Watatu wakapoteza maisha baadaye wakiwa hospitali… Continue reading WATU 15 WAMEUAWA WAKIWA KANISANI

MAREKANI NA CHINA ZAINGIA TENA KWENYE MGOGORO

Habari Kuu Marekani imetangaza vikwazo kwa makampuni 25 na watu binafsi wanaodaiwa kuhusika katika utengenezaji kemikali zinazotumika fentanly. Fentanly, afyuni (opioidi) yenye nguvu inayotumiwa kama dawa ya kutuliza maumivu makali sana ,ina jukumu kubwa kwenye mgogoro unaoendelea wa dawa za kulevya nchini Marekani. Mwanasheria Mkuu Merrick Garland amesema msururu wa usambazaji wa dawa “Mara nyingi… Continue reading MAREKANI NA CHINA ZAINGIA TENA KWENYE MGOGORO

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner