WATU 15 WAMEUAWA WAKIWA KANISANI

HABARI KUU Watu 15 wameuawa na wengine wawili kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi kwenye Kanisa Katoliki wakati wa ibada ya Februari 25, 2024 katika Kijiji cha Essakane Kasisi wa Dayosisi ya Dori, Jean Pierre Sawadogo amesema watu wenye silaha walivamia na kuua Watu 12 eneo la tukio na wengine Watatu wakapoteza maisha baadaye wakiwa hospitali… Continue reading WATU 15 WAMEUAWA WAKIWA KANISANI

MAREKANI NA CHINA ZAINGIA TENA KWENYE MGOGORO

Habari Kuu Marekani imetangaza vikwazo kwa makampuni 25 na watu binafsi wanaodaiwa kuhusika katika utengenezaji kemikali zinazotumika fentanly. Fentanly, afyuni (opioidi) yenye nguvu inayotumiwa kama dawa ya kutuliza maumivu makali sana ,ina jukumu kubwa kwenye mgogoro unaoendelea wa dawa za kulevya nchini Marekani. Mwanasheria Mkuu Merrick Garland amesema msururu wa usambazaji wa dawa “Mara nyingi… Continue reading MAREKANI NA CHINA ZAINGIA TENA KWENYE MGOGORO

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner