Ulimwengu wa kandanda umejaa utajiri na mafanikio, na hii huonekana wazi kwenye magari ya kifahari wanayomiliki wachezaji nyota. Magari haya yanaashiria sio tu utajiri wao bali pia ladha yao ya kipekee na mitindo ya maisha ya kuvutia. Hapa ni baadhi ya wachezaji wa mpira wenye majina makubwa huko ‘duniani’ wanaomiliki magari ya bei ghali zaidi.

OMchezaji wa timu ya Taifa ya Ureno na klabu ya Al Nassr, Cristiano Ronaldo ni miongoni mwa wachezaji wanaomiliki magari ya kifahari na bei ghali zaidi duniani. Miongoni mwa magari…

Continue ReadingUlimwengu wa kandanda umejaa utajiri na mafanikio, na hii huonekana wazi kwenye magari ya kifahari wanayomiliki wachezaji nyota. Magari haya yanaashiria sio tu utajiri wao bali pia ladha yao ya kipekee na mitindo ya maisha ya kuvutia. Hapa ni baadhi ya wachezaji wa mpira wenye majina makubwa huko ‘duniani’ wanaomiliki magari ya bei ghali zaidi.

Kiungo wa Yanga Sc, Stephanie Aziz Ki amekata mzizi wa fitina juu ya mustakabali wake kufuatia taharuki iliyozuka miongoni mwa wapenzi wa soka baada ya posti yake aliyochapisha kwenye mitandao ya kijamii kuzua sintofahamu.

Awali kiungo huyo raia wa Burkina Faso alichapisha taarifa ya kuushukuru uongozi wa klabu hiyo, mashabiki pamoja za wachezaji wenzie kwa mafanikio waliyoyapata katika msimu uliomalizika hali iliyopelekea wengi kudhani…

Continue ReadingKiungo wa Yanga Sc, Stephanie Aziz Ki amekata mzizi wa fitina juu ya mustakabali wake kufuatia taharuki iliyozuka miongoni mwa wapenzi wa soka baada ya posti yake aliyochapisha kwenye mitandao ya kijamii kuzua sintofahamu.

Matajiri wa Chama cha Republican wanamuunga mkono Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump kufuatia kesi ya kihistoria dhidi yake na kukutwa na hatia ya uhalifu.

Bilionea wa Cassino wa Israel na Marekani Miriam Adelson anatarajiwa kutangaza nyongeza ya Mamilioni ya Dolla kwa kampeni ya Trump wiki hii. Kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya…

Continue ReadingMatajiri wa Chama cha Republican wanamuunga mkono Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump kufuatia kesi ya kihistoria dhidi yake na kukutwa na hatia ya uhalifu.